Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Ukweli katika maisha ya Tanzania ni unavuna njaa na kutengwa, na makasiriko ya kila mara, Siasa inakupa pesa madili na maendeleo ya vitu, dhambi kuua, uwongo na unafiki.
Fanyeni mchakato wa kupiga kura.
Ntakuja endeleeni naandaa marking schemes zote mbili.
Fanyeni mchakato wa kupiga kura.
Ntakuja endeleeni naandaa marking schemes zote mbili.