Baba Askofu si kila kitu lazima ujibu ! Ile ni nukuu tu ya Sir Winston Churchill !
Good analysis, kwa mantiki hiyo ndiyo maana unatakiwa kumuacha aendelee kubweka na wala haina haja ya kumpiga mawe ili asiendelee kukupigia kelele ya kubweka, hivyo mwenye nyumba mwache aendelee kufanya yale aliyokusudia. WAACHE MBWA WAENDELEE KUBWEKA... huku mwenyenyumba akisomga mbele. NIMEIPENDA HIYOOAnaandika Askofu Bagonza
Mbwa hubweka. Asiyebweka hata akipigwa jiwe ni “mdoli “ wa mbwa. Mbwa halisi ukimzuia kubweka, utabweka wewe.
Mbwa akibweka usiku humwamsha mwenye nyumba toka usingizini ili aione hatari iliyopo. Asipobweka, mwenye nyumba huamka kumwangalia mbwa kwa nini habweki. Kwa tendo hilo, mwenye nyumba hugeuka kuwa mlinzi wa mbwa
Tuchague kwa busara; Mbwa watulinde au tuwalinde mbwa?
Mgombea wa Baba Askofu yupo Ulaya muda huu kapeleka matokeo ya kazi aliyotumwa.Baba Askofu si kila kitu lazima ujibu ! Ile ni nukuu tu ya Sir Winston Churchill !
Baba Askofu ana kinyongo mgombea wake kapigwa chini mazima.Hii sasa ni hatari sana, Yaani Askofu Bagonza hakumuelewa Waziri Winston Churchill alikuwa ana maanisha nini kwenye mfano huo wa kubweka kwa mbwa!? Au ndiyo anataka ku'rig' maelezo ya askofu mwenzake!?
Hujamuelewa na hutamuelewaGood analysis, kwa mantiki hiyo ndiyo maana unatakiwa kumuacha aendelee kubweka na wala haina haja ya kumpiga mawe ili asiendelee kukupigia kelele ya kubweka, hivyo mwenye nyumba mwache aendelee kufanya yale aliyokusudia. WAACHE MBWA WAENDELEE KUBWEKA... huku mwenyenyumba akisomga mbele. NIMEIPENDA HIYOO