Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe mbona imejibu huu uzi ?Baba Askofu si kila kitu lazima ujibu ! Ile ni nukuu tu ya Sir Winston Churchill !
Kwasababu gwaji boy kashauri tuache mbwa wabweke basi tumechagua mbwa watulinde!Anaandika Askofu Bagonza
Mbwa hubweka. Asiyebweka hata akipigwa jiwe ni “mdoli “ wa mbwa. Mbwa halisi ukimzuia kubweka, utabweka wewe.
Mbwa akibweka usiku humwamsha mwenye nyumba toka usingizini ili aione hatari iliyopo. Asipobweka, mwenye nyumba huamka kumwangalia mbwa kwa nini habweki. Kwa tendo hilo, mwenye nyumba hugeuka kuwa mlinzi wa mbwa
Tuchague kwa busara; Mbwa watulinde au tuwalinde mbwa?