Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 6,816
- 8,809
Habari Wana Jamvi,
Naandika haya nikiwa na uchungu sana moyoni, yaani watazania sijui tunasimama wapi ndugu zangu kwa upande wa lugha za kimataifa si Kingereza wala Kifaransa (maana naona passport zetu zina lugha ya Kifaransa) tunaweza kuzungumza.
Tunadanganywa na BAKITA kwamba Kiswahili ni lugha ya kimataifa na "Wanyonge" wanapiga makofi pwa pwa pwa pwa, wewe kiswahili utaongea na nani hata hapo Kenya tu, Malawi au Zambia.
Nyerere alishatuunganisha na tumerithi mfumo wa Capitalism basi tuteue Kingereza iwe lugha ya nchi ili kila mtu akafe na lake, hatutaki zaidi tunakomaa kiswahili kinatumika UN, UN ya DAR sio ya NY.
Ndugu zangu Kingereza ndio Kila kitu duniani, waliopo kwenye nafasi wanataka muendelee na lugha gongana wakati watoto wao wanazungumza vizuri ili wakija tu wapate nafasi(maana hata interview zetu zinaendeshwa na wanaotamka maneno ya kingereza). West Africa waoa Kifaransa kinawabeba sana, sana, saana.
Mwezenu nimemwambia mzungu "your Welcome" (Nimeitamka Kisukuma kabisa) akasikia kama namwambia "where are you come from" kumbe wao wanatamka "yo wl-com" (yaani wana imeza flani hivi balaa).
Kama una pesa peleka mtoto wako shule zinazozungumza Kingereza ndugu yangu (IST et all), hizo za magari ya njano mtoto akirudi wewe muulize hivi.
How are you (wazungu wao wanasema-"Hawa yu").
80% watajibu "weeeeeeeeeeeeee are fine" (kama anaimba hivi).