OPEN the Door
JF-Expert Member
- Nov 15, 2024
- 295
- 167
Uchaguzi gani kwa tume hii ya Bi Kizimkazi aka Chura KiziwiNdugu wanajamiiforum, mambo ni moto kwelikweli. Huku No reform no election. Upande mwingine Askofu Gwajima kujipatia Jina jipya akihusishwa na wasaliti upande ule baada ya kusema ukweli kuhusu utekaji na walio wengi tunampa maua yake. Sasa SERIKALI kupitia bunge limemjadili Askofu Gwajima Kwa kutoa maoni na ushauri kuhusu watu kutekwa na kwamba SERIKALI ilitizame jambo hili linaloumiza Watanzania. Sasa nadhani muda umefika. Sisi Watanzania Kwa umoja wetu tutambue nguvu tulionayo kikatiba. Tuchambue nani mtetezi wetu. UCHAGUZI ukifika. Tutenge magugu na ngano maana magugu ni wale wasiotujali na wanaotaka kujaza matumbo Yao kutetea nafasi zao katika siasa. Tukumbuke SERIKALI iliyopo madarakani HAITAKUBALI KUKOSOLEWA ila itatumia mbinu zote kujitetea ili wabaki madarakani.
Dawa ipo hapa. No reform no election. Watanzania tunaweza kuzuia UCHAGUZI Kwa kutumia dawa hiyo.Uchaguzi gani kwa tume hii ya Bi Kizimkazi aka Chura Kiziwi
tume ya kugawa vibegi vya kura feki!
kabisa watanzania tuamkeDawa ipo hapa. No reform no election. Watanzania tunaweza kuzuia UCHAGUZI Kwa kutumia dawa hiyo.
Hakika tukomae kuwaunga mkono NRNE Maana tukikubali huu UCHAGUZI CCM watushinda Kwa mizengwe.kabisa watanzania tuamke
Nyerere akifufuka sasa hivi atatushangaa, wakati wananchi wa nchi jirani wakijipambania haki zao, sie tunageuka Chawa Cha Mama
Nan kakuambia haitaki kukosolewa? heb acheni kupush narrative zenu kwa kulazimisha na kutaka kufanya serikali ionekane ni onevu(wababe)....yani hiz hoja zimekaa kishabiki tu alafu waonyesha hujui chochote hujui siasa na michezo yake kwa hawa wanasiasa wanayoicheza na haya ndio madhara kushinda kwa mange tu mana hamkai na kufuatilia maswala ya nchi na siasa kiujumla nyie mnachojua ni kushikilia bango tu atakachosema na kuangalia upande mmoja tu hamjachanganua nyakati upepo nyie raha yenu ni kuona tu serikali ikikosolewa tu....haya maswal wengi wenu mnachukulia kama ushabiki wa mpira tu coz umeshajichagulia upande wako na ww unasupport tu regardless huo upande utasema nin na unanya nn haungalii na kujua ukwl na kusoma michez ya kisiasa.....siasa haiko hvyo unavyofikiria na usikalie tu kushikwa fikra na mtizamo wa mtu ndio ukwl halisiNdugu wanajamiiforum, mambo ni moto kwelikweli. Huku No reform no election. Upande mwingine Askofu Gwajima kujipatia Jina jipya akihusishwa na wasaliti upande ule baada ya kusema ukweli kuhusu utekaji na walio wengi tunampa maua yake. Sasa SERIKALI kupitia bunge limemjadili Askofu Gwajima Kwa kutoa maoni na ushauri kuhusu watu kutekwa na kwamba SERIKALI ilitizame jambo hili linaloumiza Watanzania. Sasa nadhani muda umefika. Sisi Watanzania Kwa umoja wetu tutambue nguvu tulionayo kikatiba. Tuchambue nani mtetezi wetu. UCHAGUZI ukifika. Tutenge magugu na ngano maana magugu ni wale wasiotujali na wanaotaka kujaza matumbo Yao kutetea nafasi zao katika siasa. Tukumbuke SERIKALI iliyopo madarakani HAITAKUBALI KUKOSOLEWA ila itatumia mbinu zote kujitetea ili wabaki madarakani.
Yaani hatuelewi kuwa watu wanatekwa, kuteswa, kubakwa, kuumizwa na kuuliwa na CCMNan kakuambia haitaki kukosolewa? heb acheni kupush narrative zenu kwa kulazimisha na kutaka kufanya serikali ionekane ni onevu(wababe)....yani hiz hoja zimekaa kishabiki tu alafu waonyesha hujui chochote hujui siasa na michezo yake kwa hawa wanasiasa wanayoicheza na haya ndio madhara kushinda kwa mange tu mana hamkai na kufuatilia maswala ya nchi na siasa kiujumla nyie mnachojua ni kushikilia bango tu atakachosema na kuangalia upande mmoja tu hamjachanganua nyakati upepo nyie raha yenu ni kuona tu serikali ikikosolewa tu....haya maswal wengi wenu mnachukulia kama ushabiki wa mpira tu coz umeshajichagulia upande wako na ww unasupport tu regardless huo upande utasema nin na unanya nn haungalii na kujua ukwl na kusoma michez ya kisiasa.....siasa haiko hvyo unavyofikiria na usikalie tu kushikwa fikra na mtizamo wa mtu ndio ukwl halisi
Asante sana. Japo siasa Zina pande nyingi.Je Askofu Gwajima kuishauri SERIKALI inayoongozwa na CCM kuhusu watu kutekwa ni usaliti? Au wewe unasemaje kuhusu Haya masuala ya utekaji? Je serikali haioni kuwa ni haki kulinda maisha yetu?Nan kakuambia haitaki kukosolewa? heb acheni kupush narrative zenu kwa kulazimisha na kutaka kufanya serikali ionekane ni onevu(wababe)....yani hiz hoja zimekaa kishabiki tu alafu waonyesha hujui chochote hujui siasa na michezo yake kwa hawa wanasiasa wanayoicheza na haya ndio madhara kushinda kwa mange tu mana hamkai na kufuatilia maswala ya nchi na siasa kiujumla nyie mnachojua ni kushikilia bango tu atakachosema na kuangalia upande mmoja tu hamjachanganua nyakati upepo nyie raha yenu ni kuona tu serikali ikikosolewa tu....haya maswal wengi wenu mnachukulia kama ushabiki wa mpira tu coz umeshajichagulia upande wako na ww unasupport tu regardless huo upande utasema nin na unanya nn haungalii na kujua ukwl na kusoma michez ya kisiasa.....siasa haiko hvyo unavyofikiria na usikalie tu kushikwa fikra na mtizamo wa mtu ndio ukwl halisi
Kama hamchukii kukosolewa kwanini mnambagaza gwajima?Nan kakuambia haitaki kukosolewa? heb acheni kupush narrative zenu kwa kulazimisha na kutaka kufanya serikali ionekane ni onevu(wababe)....yani hiz hoja zimekaa kishabiki tu alafu waonyesha hujui chochote hujui siasa na michezo yake kwa hawa wanasiasa wanayoicheza na haya ndio madhara kushinda kwa mange tu mana hamkai na kufuatilia maswala ya nchi na siasa kiujumla nyie mnachojua ni kushikilia bango tu atakachosema na kuangalia upande mmoja tu hamjachanganua nyakati upepo nyie raha yenu ni kuona tu serikali ikikosolewa tu....haya maswal wengi wenu mnachukulia kama ushabiki wa mpira tu coz umeshajichagulia upande wako na ww unasupport tu regardless huo upande utasema nin na unanya nn haungalii na kujua ukwl na kusoma michez ya kisiasa.....siasa haiko hvyo unavyofikiria na usikalie tu kushikwa fikra na mtizamo wa mtu ndio ukwl halisi
Nabii mkubwa wa nchi yetu hayati J.K NYERERE ametimiza wajibu wake ipasavyo. Ingawa watu hawakumuelewa vyema lakini ni great thinker na mentor wa wanasiasa. Hamuogopi mtu yeyote lakini chama alichokiasisi ndiyo bado hawataki kuchukua msimamo wake. Je CCM wanaposema katika ilani Yao waliyozindua kwamba wataleta katiba MPYA inawezekanaje? Nani atawaamini ilihali mchakato wake waliukwamisha mpaka sasa?"Tunataka kuona katika Taifa hili, vijana jeuri na wenye kujiamini, si vijana waoga, akina "ndiyo bwana mkubwa", vijana wanaohoji na kupiga vita mifumo ya jamii isiyoshabihiana na matakwa na matarajio ya jamii ya kitanzania. Tunataka vijana waasi dhidi ya mifumo kandamizi, ubwana na ufisadi katika Taifa"
Mwl J.K. Nyerere, Rais wa Kwanza wa Tanzania
Hakika ni kweli. Sasa kazi iliyobaki ni yetu Watanzania. Tuchambue kipi ni ngano au magugu.MWALIMU NYERERE ANAMALIZA KWA USHAIRI KWENYE KITABU CHAKE.
Ole wake Tanzania Tusipoisaidia
Niwezalo nimelifanya kushauri na kuonya nimeonya.
Tahadhali nimetoa ushauri na kuonya nimeshatoka kitini zaidi nifanye nini.
Namlilia Jaalia atumulikie njia Tanzania ailinde WAOVU wasiishinde.
Amina Tena Amina Amina Tena amina
UONGOZI WETU NA HATMA YA TANZANIA.
MWALIMU JK NYERERE
Wewe ndiyo unajielewa? Usiyejua hata kuandika. Hebu tutolee takataka zako hapa. Unaonyesha uliishia darasa la 4 B. Mwalimu wako wa Kiswahili alikuwa na kazi sana.Nan kakuambia haitaki kukosolewa? heb acheni kupush narrative zenu kwa kulazimisha na kutaka kufanya serikali ionekane ni onevu(wababe)....yani hiz hoja zimekaa kishabiki tu alafu waonyesha hujui chochote hujui siasa na michezo yake kwa hawa wanasiasa wanayoicheza na haya ndio madhara kushinda kwa mange tu mana hamkai na kufuatilia maswala ya nchi na siasa kiujumla nyie mnachojua ni kushikilia bango tu atakachosema na kuangalia upande mmoja tu hamjachanganua nyakati upepo nyie raha yenu ni kuona tu serikali ikikosolewa tu....haya maswal wengi wenu mnachukulia kama ushabiki wa mpira tu coz umeshajichagulia upande wako na ww unasupport tu regardless huo upande utasema nin na unanya nn haungalii na kujua ukwl na kusoma michez ya kisiasa.....siasa haiko hvyo unavyofikiria na usikalie tu kushikwa fikra na mtizamo wa mtu ndio ukwl halisi
Huyo ni mwanasiasa ambaye hataki KUKOSOLEWA. Dawa ni no reform no election. Fikiria mabunge anayewakilisha Jimbo la UCHAGUZI ambaye hapigii kelele SERIKALI inayoweza kuzuia matukio ya utekaji. Anapotaka kugombea ubunge si atakuwa anawakilisha wanyama au watu? Tena akikosoa ndiyo anafukuzwa hata uanachama. Hii haikubaliki.Wewe ndiyo unajielewa? Usiyejua hata kuandika. Hebu tutolee takataka zako hapa. Unaonyesha uliishia darasa la 4 B. Mwalimu wako wa Kiswahili alikuwa na kazi sana.
Serikali ingekuwa sikivu, kusingekuwa na utekaji na mauaji ya Wananchi wasio na hatia. Unatetea ujinga, huna unachokijua wewe. Rudi darasani, ndiyo uanze kufatilia siasa za ndani na nje ya nchi. Ujinga mtupu