serikali kandamizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. O

    JamiiForums Tanzania Tuchambue nani mtetezi wetu uchaguzi ukifika. Serikali iliyopo madarakani haitakubali kukosolewa!

    Ndugu wanajamiiforum, mambo ni moto kwelikweli. Huku No reform no election. Upande mwingine Askofu Gwajima kujipatia Jina jipya akihusishwa na wasaliti upande ule baada ya kusema ukweli kuhusu utekaji na walio wengi tunampa maua yake. Sasa srikali kupitia bunge limemjadili Askofu Gwajima Kwa...
  2. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kwanini Serikali iko kimya wakati uharibifu mkubwa wa Miundombinu ukiendelea na kuhatarisha Usalama wa Wananchi?

    Malori makubwa yanapita juu ya Flyovers jijini Dar na kuna hatari kubwa mambo mengi yakatokea ikiwepo uharibifu wa miundombinu husika iliyojengwa kwa kodi zetu wananchi lakini lolote linaweza kutokea na kupelekea hatari kwa maisha ya wananchi. Inasikitisha kuona Serikali na Mamlaka husika ziko...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Mbunge Bunge la Ulaya: Pesa zetu za Umoja wa Ulaya zinatumika kusaidia Serikali kandamizi Tanzania

    MAZITO YAJADILIWA KATIKA BUNGE LA ULAYA, TUNDU LISSU KESI YA UHAINI, ALI KIBAO KUUAWA,,WATU KUPOTEZWA N.K https://m.youtube.com/watch?v=4QH2juya5sk Wabunge wa Bunge la Ulaya wasema kuwa zile 4R za rais Samia Hassan zimetuhadaa Misaada mfano €160,000,000 na mingine mingi ya EU inatumika...
Back
Top Bottom