A
Anonymous
Guest
Malori makubwa yanapita juu ya Flyovers jijini Dar na kuna hatari kubwa mambo mengi yakatokea ikiwepo uharibifu wa miundombinu husika iliyojengwa kwa kodi zetu wananchi lakini lolote linaweza kutokea na kupelekea hatari kwa maisha ya wananchi.
Inasikitisha kuona Serikali na Mamlaka husika ziko kimya zikisubiri madhara yatokee na “KUUNDA TUME” 😔
Inasikitisha kuona Serikali na Mamlaka husika ziko kimya zikisubiri madhara yatokee na “KUUNDA TUME” 😔