Tuchangamkie fursa kabla ya tarehe 1 june 2019

Fundi_Mjasiriamali

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2018
Posts
745
Reaction score
1,355
Nimeona matangazo mbalimbli ya kupiga marufuku matumizi ya mifuko ya nailoni (malboro) kutoka kwa viongozi wa serikali. Huku kukiwa na vifungo, faini au vyote kwa pamoja kwa mtu au taasisi itakayo zalisha, sambaza au kutumia mifuko hiyo.

Aidha, kwa upande wangu nimeona ni fursa adhimu kwetu kama vijana kubuni mbinu mbalimbali za kutengeneza vifungashio vyenye kukidhi uhitaji, na usiokiuka sheria ya mazingira na matamko ya serikali juu ya mazingira.

Nimekuja hapa ilituweze kupeana mbinu na uzoefu mbalibali juu ya utengenezaji wa vifungashio vya kutumia malighafi ya karatasi, kwa kuzingatia tunamiti mingi kule mufindi. Imani ni kwamba jamii forum ina member wa kila aina na wafani mbalimbali, hivyo bhas tusaidiane katika hili maana huku mtaani bila kujiongeza hapakaliki ukilinganisha na ajira imekuwa ngumu.

Nawasilisha kwenu wandungu tupeane mawili matatu kuhusu hili. Asanteni
 
Anaye sema zisitumike atakuwa, anajua nini kitatumika
 
hipo sokoni kama unaitaji kwa ajili ya biashara ni pm ukasambaze
IMG-20190504-WA0003.jpeg
 
Nimeona matangazo mbalimbli ya kupiga marufuku matumizi ya mifuko ya nailoni (malboro) kutoka kwa viongozi wa serikali. Huku kukiwa na vifungo, faini au vyote kwa pamoja kwa mtu au taasisi itakayo zalisha, sambaza au kutumia mifuko hiyo.

Aidha, kwa upande wangu nimeona ni fursa adhimu kwetu kama vijana kubuni mbinu mbalimbali za kutengeneza vifungashio vyenye kukidhi uhitaji, na usiokiuka sheria ya mazingira na matamko ya serikali juu ya mazingira.

Nimekuja hapa ilituweze kupeana mbinu na uzoefu mbalibali juu ya utengenezaji wa vifungashio vya kutumia malighafi ya karatasi, kwa kuzingatia tunamiti mingi kule mufindi. Imani ni kwamba jamii forum ina member wa kila aina na wafani mbalimbali, hivyo bhas tusaidiane katika hili maana huku mtaani bila kujiongeza hapakaliki ukilinganisha na ajira imekuwa ngumu.

Nawasilisha kwenu wandungu tupeane mawili matatu kuhusu hili. Asanteni
Kutunza mazingira kwa kupiga marufuku vifungashio vya nylon ni jambo zuri sana na muhimu pia litaleta fursa mpya kwa vijana wajasiliamali lakini naona kuna kitu hakipo sawa hapa

1. Kupiga marufuku mifuko ya nylon ni kupoteza ajira(fursa) kwa wale vijana wanaoitwa "kariakoo" yaan wauza mifuko, wale supplier wao pamoja na viwanda vinavyo zalisha.

2. Je ni alternative gani ambayo hao viongozi wa serikali wameipanga ili kuchukua nafasi ya iyo mifuko ya nylon na iyo alternative ina workout?

3. Kupiga marufuku vifungashio vya nylon (mifuko) pekee haitoshi kwa sababu naona iyo nylon inatumika sehemu nyingi sana je na uko nako watapiga marufuku?
Mfano chumvi, sukari, majani ya chai, na bidhaa kibao siwezi kutaja zote zinakuwa packed kwenye vifuko vya nylon
Ukinunua nguo zinakuaga kweny nylon, kila kitu ni lazima kiwe covered na nylon Kama mm ni muongo naomba mnitajie bidhaa kumi ambazo hazina nylon
Sasa je watapiga marufuku zote hizo au ni nylon za mifuko tu?

All in all hakuna kinachoshindikana kama vilipigwa marufuku viroba vya pombe ikafaniwa na imani na hili litafanikiwa let us wait and see
 
Mziki ni kwamba unaweza tumia resources /capital then serikali ya wanyonge ikapiga spinning kama usajili wa dole gumba.

Zoezi likisogezwa au kupotezewa kwa watz hawa umeisha, none cares of it kama rambo zitakuwepo.

Kuwa makini sana na biashara/uwekezaji katika serikali hii ya wanaoitwa wanyonge.
 
Hapo ndo penye changamoto.. nakumbuka kuna uzi mdau alicomment kuna boss amefunga mashine mpya ya kuzalisha malboro na ndo tangazo la kufungia malboro linatoka..
 
Kufanya biashara awamu hii kuanzia mtaji wa 10M ni heri ukaongeze GDP nchi za jirani lasivyo imekula kwako.
 
Kutunza mazingira kwa kupiga marufuku vifungashio vya nylon ni jambo zuri sana na muhimu pia litaleta fursa mpya kwa vijana wajasiliamali lakini naona kuna kitu hakipo sawa hapa

1. Kupiga marufuku mifuko ya nylon ni kupoteza ajira(fursa) kwa wale vijana wanaoitwa "kariakoo" yaan wauza mifuko, wale supplier wao pamoja na viwanda vinavyo zalisha.

2. Je ni alternative gani ambayo hao viongozi wa serikali wameipanga ili kuchukua nafasi ya iyo mifuko ya nylon na iyo alternative ina workout?

3. Kupiga marufuku vifungashio vya nylon (mifuko) pekee haitoshi kwa sababu naona iyo nylon inatumika sehemu nyingi sana je na uko nako watapiga marufuku?
Mfano chumvi, sukari, majani ya chai, na bidhaa kibao siwezi kutaja zote zinakuwa packed kwenye vifuko vya nylon
Ukinunua nguo zinakuaga kweny nylon, kila kitu ni lazima kiwe covered na nylon Kama mm ni muongo naomba mnitajie bidhaa kumi ambazo hazina nylon
Sasa je watapiga marufuku zote hizo au ni nylon za mifuko tu?

All in all hakuna kinachoshindikana kama vilipigwa marufuku viroba vya pombe ikafaniwa na imani na hili litafanikiwa let us wait and see

Hapo namba 3 hazijapigwa marufuku zitaendelea kuwepo

Zilizopigwa marufuku ni vibebeo tu, siyo vifungashio
 
mkuu uliyeweka hicho kifuko naomba bei, za mikubwa na midogo...rahisisha biashara hapa hapa mambo ya pm demand inaweza kuwa kubwa ukaanza kupandisha bei
 
Back
Top Bottom