Fundi_Mjasiriamali
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 745
- 1,355
- Thread starter
-
- #21
Naona kaingia mitiniBei mkuu
mkuu uliyeweka hicho kifuko naomba bei, za mikubwa na midogo...rahisisha biashara hapa hapa mambo ya pm demand inaweza kuwa kubwa ukaanza kupandisha bei
Naona ameingia mitiniBei mkuu
sio kila detail ni adharaniMbona unang'ang'ania sana pm? kwani hizo details ukiziweka hapa itakuaje?
njoo inbox mkuu upatiweBei mkuu
njoo inbox mkuu details zipo fullWeka hapa hapa mkuu kwa faida ya kila mtu nataka nianze kuzizungusha huko mtaani ndo maana nkauliza
*Non-woven Bags*mkuu uliyeweka hicho kifuko naomba bei, za mikubwa na midogo...rahisisha biashara hapa hapa mambo ya pm demand inaweza kuwa kubwa ukaanza kupandisha bei
Bei ngap?hipo sokoni kama unaitaji kwa ajili ya biashara ni pm ukasambaze View attachment 1092886
hipo sokoni kama unaitaji kwa ajili ya biashara ni pm ukasambaze View attachment 1092886
Non-woven Bags*Bei ngap?
Non-woven Bags*Mkuu shingapi jump a jump a?
Embu tuweke picha mkuu maana kiinglishi bila picha ni tabu. Na fafanua hizo bei ni kwa pis moja au bundle?? Samahani kwa usumbufuNon-woven Bags*
Minimum 500 pcs per size
*D-Cut*
20 x 16cm - 100Tshs
30 x 20cm - 120Tshs
35 x 25cm - 150 Tshs
45 x 35cm - 200Tshs
50 x 40cm - 250 Tshs
*With Handles*
45 x 35cm - 340Tshs
50 x 40cm - 400Tshs
bei ni pisEmbu tuweke picha mkuu maana kiinglishi bila picha ni tabu. Na fafanua hizo bei ni kwa pis moja au bundle?? Samahani kwa usumbufu