Tuchangamshe akili kidogo tutoe stress zetu.........

Tuchangamshe akili kidogo tutoe stress zetu.........

cold water

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2021
Posts
238
Reaction score
954
Ni Asubuhi nzuri yenye utulivu,kwani mwili uwa wenye nguvu ya kufanya kazi zaidi kwa wale wezetu wamachinga,wakulima,na ata wale wafanyakazi wa maofisini.Na hali ya hewa furani yenye kuvutia, kwa kweli Asubuhi inavutia.sio kama mchana jua Kali la kuchoma utosini, karaha mbalimbali kama kutokwa jasho ni hali ya hewa ambayo uwakera wanawake, poda zao kuisha usoni,na wale wanaopenda "pafyum " kama mimi kutoisikia tena katika mwili, kwasababu ya kuchanganyika na jasho hasa kwa sisi watembea kwa miguu , watafuta riziki wanaofanya shughuli mbalimbali juani mfano,mafundi ujenzi,kwakweli mchana ukera hasa maeneo yenye joto."Naipenda Asubuhi".swali "Mimi naipenda Asubuhi wewe je?" Kama unaipenda Asubuhi tupatie pambio lake na kama unapenda mchana tupe pia pambio lake Mimi nimeanza na pambio langu"Naipenda Asubuhi". unaweza kutuandikia ata pambio la usiku pia,mana usiku nao uvutia bwana. Nyota nzuriiii za kupendeza na mbalamwezi yenye kuvutia.......kwakweli Mungu aliiumba dunia.
 
Unaipenda asubuhi Yako?😳 Asubuhi ya lini labda? Au hiihii ya Leo ya 23.3%🤔 .....hapana Kwa kweli
 
Mchaka mchaka chinja alimselema Adija
Nipo najaribu kupasha jamani
 
Sidhani kama Marekani wana ubavu huo dhidi ya Russia. Let's wait and see
 
Back
Top Bottom