Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
Jamaa alikamata mwizi jikoni kwake, sasa alipo taka kupiga kelele ya mwizi, yule mwizi akamwambia mwenye nyumba unakumbuka katika Biblia nilisema nitakuja kama mwizi Usiku? Ndo nimekuja mara ya pili nawe ubarikiwe kwa kuwa nimekukuta ukikesha kama nilivyo waambia kesheni, " Jamaa akamuangalia mwizi kisha akatabasamu, akamjibu akamwambia pole kwa kuwa umeangukia tena mikononi Mwa pilato kwa mara ya pili, nami nitakusulubisha Usiku huu huu.!!!
Mwizi akazimia pale pale.
🏻🏻🏻🏻🏻🏻
*Usicheke peke yako*
🤣[emoji16]🤣[emoji16]🤣[emoji16]🤣[emoji16]🤣[emoji16]
Mwizi akazimia pale pale.
🏻🏻🏻🏻🏻🏻
*Usicheke peke yako*
🤣[emoji16]🤣[emoji16]🤣[emoji16]🤣[emoji16]🤣[emoji16]