Tucheke na mama zetu leo

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aiseeh mmenikumbusha mbali sana yaan mamaangu kafiti kila idara kwenye uzi huu
[emoji3] natamani kumuona mama neema.

brain is the beautiful part of the body.
 
[emoji3] natamani kumuona mama neema.

brain is the beautiful part of the body.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Daah bimkubwa wangu alikuwa mtata sana, sasa usiombe ukaenda naye ugenini alafu ukapewa kitu ule pasipo kumuangalia usoni kwamba anakupa ishara gani upokee au usipokee yaan mkirudi home ni kipigo cha sherehe [emoji23][emoji23] utajuta kwanini uliongozana nae.
 
[emoji3][emoji3][emoji3]hapo kwenye ishara nimepapenda maana ilishanitokea, tangu siku hiyo baada ya kichapo nikazila jumla sikuwahi kupokea tena kitu nikiwa nae[emoji3][emoji3].

Ila kiujumla waliimalisha ulinzi kwa watoto zaidi ya ule wa magufuri!

brain is the beautiful part of the body.
 
Kabisa walijua kutulea kwenye misingi mizuri na maadili mema, big up sana kwa wamama wote maana walikuwa na tabia za kufanana utadhan walienda kusomea kutulea.
 
Kabisa walijua kutulea kwenye misingi mizuri na maadili mema, big up sana kwa wamama wote maana walikuwa na tabia za kufanana utadhan walienda kusomea kutulea.
Nahisi na wewe umehamishia huo ulinzi kwa wanao!

brain is the beautiful part of the body.
 
MMENIKUMBUSHA MBALI NA NIMECHEKA SANA AHHAA MAMA PUMZIKA KWA AMANI, ZILE ISHARA ZAO BWANA KIBOKO WAKIJA WAGENI SEBULENI WEWE MTOTO UJIFANYE KUENDELEA KUMINYA HAPO UTAKOMA
Walikuwa hawahangaiki kuongea ni jicho tuu akikuangalia unatoka kimya kimya na hutopata amani hata ya kucheza na watoto wenzio hapo unawaza wageni wakiondoka sijui itakuwaje [emoji26]
 
Walikuwa hawahangaiki kuongea ni jicho tuu akikuangalia unatoka kimya kimya na hutopata amani hata ya kucheza na watoto wenzio hapo unawaza wageni wakiondoka sijui itakuwaje [emoji26]
Hehehe kuna uhusiano na uelewa mkubwa sana wa lugha ya ishara baina ya mama na mtoto.

brain is the beautiful part of the body.
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] anko zangu wqna tabu sana, kama zile dondoo ukiwahamishia wao siku wakija humu nao watakuanzishia uzi!

brain is the beautiful part of the body.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kabisa hao hawafai, kuna muda tukienda kumsalimia bibiyao wanajisahau wanadhani wapo free nawatandika vizuri tuu mpaka mama anasema waache basi siku moja nikamwambia laiti na sisi tungepata mtetezi tusingekuwa na maadili haya niache niwaonye ili wakae kwenye mstari, hajawahi kurudia kuwatetea.
 
Akija Mgen Utaona Machejo Yake Mara Unapendwa Sanaa Mpka Basi Wali Utapikwa Siku Hiyo
Kwa Siku Za Kawaida Ni Marufuku Kula Wali Mchana Mwanzo Mwisho Ni Usiku Na Kiporo Kinachobak Ni Cha Chai Kesho Asubuhi
Kiatu, Kaptula, shati Na Begi La Shule Vyote Mkataba Drsl 4 Mpaka La 7

Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
 
[emoji3][emoji3]Hongera sana neema, unifikishie salamu kwa mama neema na anko zangu.

brain is the beautiful part of the body.
 
Ni pale baba anapokwambia leo hapa kwangu hakuna kula! halafu unakuta unaingia chumbani kwako unakuta msosi wa kula siku mbili na nyama nyingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…