mojave
JF-Expert Member
- Apr 30, 2016
- 5,568
- 6,424
[emoji3] natamani kumuona mama neema.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aiseeh mmenikumbusha mbali sana yaan mamaangu kafiti kila idara kwenye uzi huu
brain is the beautiful part of the body.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3] natamani kumuona mama neema.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aiseeh mmenikumbusha mbali sana yaan mamaangu kafiti kila idara kwenye uzi huu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3] natamani kumuona mama neema.
brain is the beautiful part of the body.
[emoji3][emoji3][emoji3]hapo kwenye ishara nimepapenda maana ilishanitokea, tangu siku hiyo baada ya kichapo nikazila jumla sikuwahi kupokea tena kitu nikiwa nae[emoji3][emoji3].[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Daah bimkubwa wangu alikuwa mtata sana, sasa usiombe ukaenda naye ugenini alafu ukapewa kitu ule pasipo kumuangalia usoni kwamba anakupa ishara gani upokee au usipokee yaan mkirudi home ni kipigo cha sherehe [emoji23][emoji23] utajuta kwanini uliongozana nae.
Kabisa walijua kutulea kwenye misingi mizuri na maadili mema, big up sana kwa wamama wote maana walikuwa na tabia za kufanana utadhan walienda kusomea kutulea.[emoji3][emoji3][emoji3]hapo kwenye ishara nimepapenda maana ilishanitokea, tangu siku hiyo baada ya kichapo nikazila jumla sikuwahi kupokea tena kitu nikiwa nae[emoji3][emoji3].
Ila kiujumla waliimalisha ulinzi kwa watoto zaidi ya ule wa magufuri!
brain is the beautiful part of the body.
Nahisi na wewe umehamishia huo ulinzi kwa wanao!Kabisa walijua kutulea kwenye misingi mizuri na maadili mema, big up sana kwa wamama wote maana walikuwa na tabia za kufanana utadhan walienda kusomea kutulea.
Kama nilivyokuzwa ndivyo ninavyowakuzaNahisi na wewe umehamishia huo ulinzi kwa wanao!
brain is the beautiful part of the body.
Walikuwa hawahangaiki kuongea ni jicho tuu akikuangalia unatoka kimya kimya na hutopata amani hata ya kucheza na watoto wenzio hapo unawaza wageni wakiondoka sijui itakuwaje [emoji26]MMENIKUMBUSHA MBALI NA NIMECHEKA SANA AHHAA MAMA PUMZIKA KWA AMANI, ZILE ISHARA ZAO BWANA KIBOKO WAKIJA WAGENI SEBULENI WEWE MTOTO UJIFANYE KUENDELEA KUMINYA HAPO UTAKOMA
[emoji3] [emoji3] [emoji3] anko zangu wqna tabu sana, kama zile dondoo ukiwahamishia wao siku wakija humu nao watakuanzishia uzi!Kama nilivyokuzwa ndivyo ninavyowakuza
Hehehe kuna uhusiano na uelewa mkubwa sana wa lugha ya ishara baina ya mama na mtoto.Walikuwa hawahangaiki kuongea ni jicho tuu akikuangalia unatoka kimya kimya na hutopata amani hata ya kucheza na watoto wenzio hapo unawaza wageni wakiondoka sijui itakuwaje [emoji26]
Atakuwa katekwa? [emoji16]Aseeh nani kama mama,... Leo Joseverest yuko wapi wadau!! "???,..isije kua anaugua atujui,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3] [emoji3] [emoji3] anko zangu wqna tabu sana, kama zile dondoo ukiwahamishia wao siku wakija humu nao watakuanzishia uzi!
brain is the beautiful part of the body.
[emoji3][emoji3]Hongera sana neema, unifikishie salamu kwa mama neema na anko zangu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kabisa hao hawafai, kuna muda tukienda kumsalimia bibiyao wanajisahau wanadhani wapo free nawatandika vizuri tuu mpaka mama anasema waache basi siku moja nikamwambia laiti na sisi tungepata mtetezi tusingekuwa na maadili haya niache niwaonye ili wakae kwenye mstari, hajawahi kurudia kuwatetea.
Zimefika daud[emoji3][emoji3]Hongera sana neema, unifikishie salamu kwa mama neema na anko zangu.
brain is the beautiful part of the body.