katika kukudiscipline hawanaga shukurani
Kuna ile unachapwa alafu anakwambia kimyaa..Hii ni mamazetu wote .hapo utafikiri walimuona mamaangu huuh!r.i.p mama
Huna haja ya kukimbia...ichukulie poaitive...akiongea wee cheka tu..Huyu atakuwa Mmama wa bongo movie kwani mimi Mama yangu hajawahi kuniambia haya hata siku moja, ni mke wangu tu huwa anakuwa na maneno machache uliyo andika humu so I guess katoa kwak au huko mitaani. Nikichelewa kurudi nyumbani utamsikia kakulisha nini leo? Simjibu kwani najuwa anamaanisha nani n nini lengo lake. Akiona sina jibu ananifuata chumbani na kunisachi change, akikuta hakuna utamsikia yaani baba wewe huna hata huruma, hela zote umemuachia yeye? Yaani ni full vituko....nikila na kuita watoto tule wote utamsikia, unawaitia watoto ili ukale kule? Yaani hapa sina hata hawara na sijafikiria kuwa naye kwani nampenda sana mke wangu ila vituko vyake tu ni muziki shinda Twanga Pepeta na ndicho kitakachonikimbiza kwake.
Niliwahi kuwa wa 20 kile kipigo sijawahi kukisahau..Ni pale unapokuwa wa kwanza kiwilaya au kimkoa unampa taarifa anaishia kuitikia Aaha.
Post sent using JamiiForums mobile app
Unafika ugenini unapew Soda mtt anaiwahi anapiga tarumbeta mzazi unakenua tu loh ni shida hiki kizaziHii huwa inabore sana unakuta mtoto anafanya mambo ya kijinga mbele ya wageni na mzazi wake anaona sawa tuu wala hamkemei mtoto eti madai yao wanawapenda watoto wao ndio maana watoto wanawazalilisha mbele za watu hayo ni malezi ya kipuuzi mno.
Ni kwa leo mkuu unahojiwa maswali kama hayo, zamani unapata wapi ujasili/mda wa kuuliza hivyo!!!Dah!!!sisi watoto wa zamani tulikuwa watiifu sana hata kwa mambo hayawezekani.
kuna siku nilijaribu hili zoezi kwa mtoto wangu lkn nilifeli kwa maswali niliyopata.
1.aliuliza kwa sababu gani?
nikamjibu ili uende haraka na urudi haraka.
2.kwani mama mate huwa yanakauza muda gani?
nikamjibu baada ya dakika 10.
Akasema mama siyo mbona mimi nikitema mate yanakauka saa hiyohiyo.
Alienda nilikomtuma lkn siyo kwa masharti ya kutema mate.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji68][emoji65][emoji65][emoji68][emoji66][emoji65][emoji68][emoji66][emoji65] Nani kama mama ??
Utajuaje kama mama ako ni mtanzania.........
-Ni pale unapo mkopa hela alafu uki mdai.... Ana kuuliza chakula unacho kulaga humu ndani uwa unalipia..?
Huyo mbongo
-Ni anapo kuachia kazi alafu anaenda na remote kazin.......usisubir kuambiwa
-nipale unapo aga kwenda kwa rafik ako kupiga story alafu anakuuliza iv Lin uyo rafik ako amewah kuja kwenu....... Huyo hajahamia bongo
Nipale anapo kuuliza kama chakula alicho kupakulia kinatosha ukisema hapana ana kwambia kapike mwenyewe...... Huyo wakwetu
Ni pale unapo wekewa nguo za Aina mbili za jumapil na zakushindia sasa jikute nunda ushindie za jumapil utajuta kwa hayo makofi.......mama huyo wahapahapa
Nipale unapo sahau kumsalimia asubuh alafu ana kusalimia yeye shkamoo.... Ohoo kaa mbali kwa mda huo..... Huyu haina haja ya kuulizia anatokea wapi
Nipale anaposinzia huku mnaangalia tv na hatak mbadilishe channel.....huyu wahapahapa......
Nipale unapo kuwa store alafu anakuita jikoni alafu anakwambia nenda kanichukilie mwiko store..... Na huyu niwaambie anatokea wapi..
Kuna Vyombo vingine anavitoa tuu wakija wageni..... Haaahaa ni mama usimuulize utaifa huyu unakosea
Ni pale unavo rud kwenu unamwambia umeshika nafasi ya pili darasan anakuuliza wa kwanza anavichwa vi wili??..... Yupo kweny list ya wamama wabongo...
Sasa unataka kujua serikali ina mkono mrefu @Dokoa nyama udakwee!!!!!!!!!
Utamuona trump kwenye mwembe .....
a tunawapenda mama zetu wakitanzania.........
.
AminiiiI love you mama.... i love all mamas duniani na waliotangulia Mola awarehemu.
Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
Huna haja ya kukimbia...ichukulie poaitive...akiongea wee cheka tu..
Siku nyingine jivike ukauzu na umtolee uvivu umpe makavu live
Umenishangaza kusema hao wamama wa bongo movie!!!!
Hao ni mama zetu huku mtaani my mom was exactly like that japo anazeeka amepoa sasa.
love thé love or hâte thé love.....
Kukimbia kutafuta nyumba ndogo ni justification tu...Ahsante ila wakati mwingine mtu unalazimika kutoka nje ya ndoa hata kama hauna nia ili tu upate mtu wa kukufariji. Maana unafikiria muziki unaopigwa na mkeo nyumbani ni Zaidi ya disco la watts 10000, sasa hapa utafanyaje? Kina Mama kwa kweli ndiyo wanaotufanya sie wanaume tuwakimbie na kutafuta nyumba ndogo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aiseeh mmenikumbusha mbali sana yaan mamaangu kafiti kila idara kwenye uzi huu
Kha jaman hii nineifanya nimemnunulia mwanangu wa two yrs yebo kubwa nkamwambia utakuwa nazo kha nimecheka hapaNi pale anapikununulia nguo oversize na kukwambia utakuwa nayo.
Utakuwa wa ubalozini wewe 99% ulilelewa na hausugeliHuyu atakuwa Mmama wa bongo movie kwani mimi Mama yangu hajawahi kuniambia haya hata siku moja, ni mke wangu tu huwa anakuwa na maneno machache uliyo andika humu so I guess katoa kwak au huko mitaani. Nikichelewa kurudi nyumbani utamsikia kakulisha nini leo? Simjibu kwani najuwa anamaanisha nani n nini lengo lake. Akiona sina jibu ananifuata chumbani na kunisachi change, akikuta hakuna utamsikia yaani baba wewe huna hata huruma, hela zote umemuachia yeye? Yaani ni full vituko....nikila na kuita watoto tule wote utamsikia, unawaitia watoto ili ukale kule? Yaani hapa sina hata hawara na sijafikiria kuwa naye kwani nampenda sana mke wangu ila vituko vyake tu ni muziki shinda Twanga Pepeta na ndicho kitakachonikimbiza kwake.
Karibia yote hayo yashanitokeaga pindi naishi na maza.
Utakuwa wa ubalozini wewe 99% ulilelewa na hausugeli
We mbwa njoo hapaNi pale anapokuita jina la mnyama .
Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app