Tuchekee: Maswali na majibu ya kuudhi

Tuchekee: Maswali na majibu ya kuudhi

Unakuta unaongea na mtu ghafla anakuuliza ..unasemaaa?

Jibu: Kama ulivyosikia
 
umembusu na kumnyegesha demu weeee mpaka kalegea kama mlenda. Unaanza kumvua chakatinakati anakuuliza unataka kufanya nini. Jibu lake nataka kwenda kufua
Hahhaha...


Kwani uzi huu unahusu nn.

Jibu lake uzinzi
 
Unakutana na mtu anakwambia "sema SaaMbovu"

Unamjibu "SaaMbovu"

Anakasirika.
 
Back
Top Bottom