Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sheikh mbona kama unatuketa kati?Anachosema ni kweli hawatabiriki hawa jamaa. Dakika moja za nyongeza mpira kuisha wanaweza kukupiga tatu mpaka ukajiuliza imekuaje hapa?
had kesho kipara hana hamu kabisa na yule mzee wa taliano waogope sana kweny kukaba na kushambulia kwa counter Ndani ya dakika mbili unaweza kufanyiwa kitendo cha ajabu sanaYule mzee hafai aisee,
Guadiola kamnyooshea mikonoš
Madrid Hana mpira wowote ...
Ni swala la muda tu ...
Mpira WA kuvizia hauwezi kukupa CL
Mwenye UCL 14 titles ni nani[emoji2][emoji2]Madrid Hana mpira wowote ...
Ni swala la muda tu ...
Mpira WA kuvizia hauwezi kukupa CL
Madrid wanategemea sana counter attack hasa wakikutana na timu zinazocheza, nadhani movement za goli za Madrid ukikaa vizuri unaziona kama mtazamaji....kitu kimoja kinachowabeba Madrid ni mentality basi nadhani na attitude, Nina uhakika cha kwanza kabisa ambacho mchezaji wa Madrid anakuwa nacho au anaandaliwa kuwa nacho ni strong mentality na desires na ndio maana kwao hata mchezaji unayemchukulia poa poa always akipata nafasi Madrid anaitendea haki na hii imefanya wachezaji wengi wenye ndoto kubwa Sasa hivi kuitaka hii timu, football heritage Yao wamejitahidi kuimaintain kuliko timu yoyote ile duniani
pia ata aina ya wachezaji wanaopita kucheza ile klabu wengi wanavipaji vikubwa sana mfano Toni na luca modric ni moja kati ya Viungo bora wa wakati wote waliowahi kucheza mpira wa miguu kweny Hii sayari Bado hutujawataja wachezaji waliondoka kina Cristiano Ronaldo , Marcelo kina zidane wacha Real madrid iwe Ndio Best Club of all time in Football HistoryMadrid wanategemea sana counter attack hasa wakikutana na timu zinazocheza, nadhani movement za goli za Madrid ukikaa vizuri unaziona kama mtazamaji....kitu kimoja kinachowabeba Madrid ni mentality basi nadhani na attitude, Nina uhakika cha kwanza kabisa ambacho mchezaji wa Madrid anakuwa nacho au anaandaliwa kuwa nacho ni strong mentality na desires na ndio maana kwao hata mchezaji unayemchukulia poa poa always akipata nafasi Madrid anaitendea haki na hii imefanya wachezaji wengi wenye ndoto kubwa Sasa hivi kuitaka hii timu, football heritage Yao wamejitahidi kuimaintain kuliko timu yoyote ile duniani
Sio mentality peke ata wachezaji wanaopita kuicheza ile klabu wengi ni ma
pia ata aina ya wachezaji wanaopita kucheza ile klabu wengi wanavipaji vikubwa sana mfano Toni na luca modric ni moja kati ya Viungo bora wa wakati wote waliowahi kucheza mpira wa miguu kweny Hii sayari Bado hutujawataja wachezaji waliondoka kina Cristiano Ronaldo , Marcelo kina zinade wacha Real madrid iwe Ndio Best Club of all time in Football History
Nakumbuka kuelekea fainali ya Uefa 23 May 2007 Giradinho alikuwa on fire sana lakini aliulizwa utamuanzisha nani kati ya Giradinho na Inzaghi alisema anaanza na Inzaghi na jamaa alifunga.Niliona clip Twitter / X ikionesha Guardiola kawekeza kwenye Tactics halafu Ancelotti kawekeza kwenye Lucky.
Hapo Ancelotti huwezi kumtabiri
Do not write off GermanMadrid ndio mabingwa wa Champions League msimu huu, Bayern atapigwa nje ndani!.
Kusema ni ndoto ya kila mchezaji mkubwa unaongea uongoR.Madrid Ni ndoto ya kila mchezaj mkubwa duniani, jamaa wamementain status Yao for decades
HalaaaaHalla Madrid
Unahisi ni waviziaji sababu Madrid ni ile timu ambayo inakuacha ujisikie kama upo in control, kama vile umeshawadhibiti tayari kumbe wanaangalia uchochoro, wapite wapi, hawabahatishi unashangaa ghafla wanafanya shambulizi hatari halafu wanarudi tena kukuacha uamini upo in control. Al hly nao wana hii tabia.Madrid Hana mpira wowote ...
Ni swala la muda tu ...
Mpira WA kuvizia hauwezi kukupa CL