Tucheze kamchezo kazuri

Foxhound

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2013
Posts
28,710
Reaction score
76,243
Habari wanajukwaa, Nimefikiria sana leo na kugundua kamchezo kamoja kazuri sana na kanafurahisha naomba tucheze, kanahusiana na kugeuza silabi za neno ambapo ya mwisho ukiitanguliza mwanzo na kurudia haraka haraka unapata neno kamili lililokusudiwa bila kuharibu maana, karibuni.

Mimi naanza kama ifuatavyo:-
Kisama
Kimasa
Rakima
Boro
Sunu
Loki
Tukia
Tiki
Ongezea yako unayoyajua...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TESHIBA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…