Tucheze kamchezo: Unaijua hii mitaa?(Dar)

Tucheze kamchezo: Unaijua hii mitaa?(Dar)

Hii ni kwa wanaojiita born town..Born iya iya..wazurulaji, watoto wa streets,

Hii Sio kwa wakuja, wale wakifa wanasafirishwa, na wale getikali

Wengine wote: Unaijua Dar weye??
Twende kazi…..

1. Unapajua Tabata Sanene pale?kuna shule gani ya private kubwa?
2. Unapajua Mwenge mitaa ya soshohoo….Hiyo soshohoo ni nini?
3. Unapajua Goba njia nne? Ukianza kurudi njia ya mbezi upande wa kushoto kwa ndani kuna bar gani kubwa? Madonange unaijua?
4.Unapajua kimara matosa weye?
Tajiri Matosa mwenyewe unamjua?
5. Unapajua sea cliff ni wapi?
panajulikana
6. Unapajua Msasani aka masaki B? Kota za Tanesco unapajua?
7. Unaujua mtaa wa Azikiwe? Uko wapi?
posta kwenyewe hapo
8.unaujua mtaa wa Salanga? Uko wapi?
9. Unaijua mitaa ya shekilango iliyoungana na Sinza makaburini mpaka madukani?
10.unapajua mkwajuni? Ipo wapi?
mkwajuni kinondoni kabla ya studio
11. Mapinduzi Makumbusho unapajua?
12. Mitaa ya Lulenge,Tanesco,Kanisani unaijua? iko wapi?
13.Charame,kisewe na kibondemaji unapajua? Ni wapi?
mbagala
14. Ukipita Bonyokwa kuelekea msikitini uelekeo wa Mbezi unafika K…mwisho unapajua? K ni nini?
15.Mivumoni, kwa ndevu na kibaoni ni mitaa ya wapi?

Twendeleee…………
 
Mbagala..!!
1. Unapajua Bmax wewe..?
2. Unapojua Darlive ndogo wewe?
3. Unapajua Kilamba?
4. Unapajua Biasi wewe?
5. Unapajua kurasini mpya wewe?
6. Unapajua kwa Mangaya wewe? Maturubai je?
7. Unapajua Kimbangulile wewe?
8. Unajua Scorpion wewe? Kakonko je?
9. Unapajua kwa Mapunda?
10. Unapajua Bamia?
11. Kichemchem ushawahi fika?
12. Unapajua kilungule, ukiwa unaelekea kwa Mpalange?
13. Unapajua Ikulu? Ukiwa unaelekea vigozi..!!
Nyumbani huku daah... Bamia, kiponza, mbande .....
 
Uzi wa watu wa dar, sisi wa mikoani tukae pembeni.
Hii ni kwa wanaojiita born town..Born iya iya..wazurulaji, watoto wa streets,

Hii Sio kwa wakuja, wale wakifa wanasafirishwa, na wale getikali

Wengine wote: Unaijua Dar weye??
Twende kazi…..

1. Unapajua Tabata Sanene pale?kuna shule gani ya private kubwa?
2. Unapajua Mwenge mitaa ya soshohoo….Hiyo soshohoo ni nini?
3. Unapajua Goba njia nne? Ukianza kurudi njia ya mbezi upande wa kushoto kwa ndani kuna bar gani kubwa? Madonange unaijua?
4.Unapajua kimara matosa weye?
Tajiri Matosa mwenyewe unamjua?
5. Unapajua sea cliff ni wapi?
6. Unapajua Msasani aka masaki B? Kota za Tanesco unapajua?
7. Unaujua mtaa wa Azikiwe? Uko wapi?
8.unaujua mtaa wa Salanga? Uko wapi?
9. Unaijua mitaa ya shekilango iliyoungana na Sinza makaburini mpaka madukani?
10.unapajua mkwajuni? Ipo wapi?
11. Mapinduzi Makumbusho unapajua?
12. Mitaa ya Lulenge,Tanesco,Kanisani unaijua? iko wapi?
13.Charame,kisewe na kibondemaji unapajua? Ni wapi?
14. Ukipita Bonyokwa kuelekea msikitini uelekeo wa Mbezi unafika K…mwisho unapajua? K ni nini?
15.Mivumoni, kwa ndevu na kibaoni ni mitaa ya wapi?

Twendeleee…………
 
Haya maeneo ni ya kawaida sana kuyajua hata asiyezaliwa mjini anapajua! Kidogo ungefanya hivi☆ungetaja maeneo maarufu tangu zamani na majina yake ya kizamani,kwa mfano wewe umetaja maeneo ya Chamazi,Mbande,Goba,Matosa hayo maeneo ni mapya hayana miaka hata 18 na yalikuwa ni nje ya mji kabisa,miaka ya zamani 98 huko ilikuwa ukipitiwa na bomoabomoa unapewa kiwanja huko goba,Matosa na bado watu waliviuza! Labda ungetaja maeneo haya
1.Unaujua ukumbi wa Anatouglo wewe,Diamond Jubilee ipo wapi?

2.Kambi ya jeshi ya Ngome unaijua!?
3.unapajua Mchafukoge wewe!? Sanamu la bisimini unalijua
4.Baa ya macheni pale Magomeni ilikuwa maeneo gani?
5.Ukumbi wa mieleka uliokuwepo maeneo ya Salender bridge pale ulikuwa unaitwaje?
6.Mkamasharp unamjua? Maumba unamjua?
7.jengo la Aziz House lipo maeneo gani!? Na lilikuwa maarufu kwa kitu gani?
8.miti ya Mikoche unaijua? Ilikuwa kwa wingi sehemu gani?
 
Ushawahi kula chips za Barafaaa wewe unamjuwa sadam makuku wewe.
 
Back
Top Bottom