Unapajua majumba nane? 😂Unapajua magole[emoji41]
Hapana labda Saint Valley [emoji23]Unapajua majumba nane? [emoji23]
panajulikanaHii ni kwa wanaojiita born town..Born iya iya..wazurulaji, watoto wa streets,
Hii Sio kwa wakuja, wale wakifa wanasafirishwa, na wale getikali
Wengine wote: Unaijua Dar weye??
Twende kazi…..
1. Unapajua Tabata Sanene pale?kuna shule gani ya private kubwa?
2. Unapajua Mwenge mitaa ya soshohoo….Hiyo soshohoo ni nini?
3. Unapajua Goba njia nne? Ukianza kurudi njia ya mbezi upande wa kushoto kwa ndani kuna bar gani kubwa? Madonange unaijua?
4.Unapajua kimara matosa weye?
Tajiri Matosa mwenyewe unamjua?
5. Unapajua sea cliff ni wapi?
posta kwenyewe hapo6. Unapajua Msasani aka masaki B? Kota za Tanesco unapajua?
7. Unaujua mtaa wa Azikiwe? Uko wapi?
mkwajuni kinondoni kabla ya studio8.unaujua mtaa wa Salanga? Uko wapi?
9. Unaijua mitaa ya shekilango iliyoungana na Sinza makaburini mpaka madukani?
10.unapajua mkwajuni? Ipo wapi?
mbagala11. Mapinduzi Makumbusho unapajua?
12. Mitaa ya Lulenge,Tanesco,Kanisani unaijua? iko wapi?
13.Charame,kisewe na kibondemaji unapajua? Ni wapi?
14. Ukipita Bonyokwa kuelekea msikitini uelekeo wa Mbezi unafika K…mwisho unapajua? K ni nini?
15.Mivumoni, kwa ndevu na kibaoni ni mitaa ya wapi?
Twendeleee…………
Nyumbani huku daah... Bamia, kiponza, mbande .....Mbagala..!!
1. Unapajua Bmax wewe..?
2. Unapojua Darlive ndogo wewe?
3. Unapajua Kilamba?
4. Unapajua Biasi wewe?
5. Unapajua kurasini mpya wewe?
6. Unapajua kwa Mangaya wewe? Maturubai je?
7. Unapajua Kimbangulile wewe?
8. Unajua Scorpion wewe? Kakonko je?
9. Unapajua kwa Mapunda?
10. Unapajua Bamia?
11. Kichemchem ushawahi fika?
12. Unapajua kilungule, ukiwa unaelekea kwa Mpalange?
13. Unapajua Ikulu? Ukiwa unaelekea vigozi..!!
Buza via saku mwishoUnapajua kwa mpalange?
Kwa mama kibonge je?
Mmmh kweliKoteee napajua
Hii ni kwa wanaojiita born town..Born iya iya..wazurulaji, watoto wa streets,
Hii Sio kwa wakuja, wale wakifa wanasafirishwa, na wale getikali
Wengine wote: Unaijua Dar weye??
Twende kazi…..
1. Unapajua Tabata Sanene pale?kuna shule gani ya private kubwa?
2. Unapajua Mwenge mitaa ya soshohoo….Hiyo soshohoo ni nini?
3. Unapajua Goba njia nne? Ukianza kurudi njia ya mbezi upande wa kushoto kwa ndani kuna bar gani kubwa? Madonange unaijua?
4.Unapajua kimara matosa weye?
Tajiri Matosa mwenyewe unamjua?
5. Unapajua sea cliff ni wapi?
6. Unapajua Msasani aka masaki B? Kota za Tanesco unapajua?
7. Unaujua mtaa wa Azikiwe? Uko wapi?
8.unaujua mtaa wa Salanga? Uko wapi?
9. Unaijua mitaa ya shekilango iliyoungana na Sinza makaburini mpaka madukani?
10.unapajua mkwajuni? Ipo wapi?
11. Mapinduzi Makumbusho unapajua?
12. Mitaa ya Lulenge,Tanesco,Kanisani unaijua? iko wapi?
13.Charame,kisewe na kibondemaji unapajua? Ni wapi?
14. Ukipita Bonyokwa kuelekea msikitini uelekeo wa Mbezi unafika K…mwisho unapajua? K ni nini?
15.Mivumoni, kwa ndevu na kibaoni ni mitaa ya wapi?
Twendeleee…………
Mnara wa voda sio,kimara hiyoUpajua GOLANI kweli wewe??
Buza hiyoUnapajua kwa mpalange?
Kwa mama kibonge je?
Maeneo ya micasa hahahahah,digidigi kibaoUnapajua riverside ubungo wewe... pita usiku mida ya saa mbili usiku utakuta vidigidigi kibao
Dah huko ni hatari nyumba zimebanana si mchezo,nilipitaga Chocho siku moja nilikuwa nimetoka msdKeko magulumbasi
Chini kule ahahahah...Dah huko ni hatari nyumba zimebanana si mchezo,nilipitaga Chocho siku moja nilikuwa nimetoka msd