Tuchukue tahadhari madimbwi ya maji yanaweza kusababisha KIPINDUPINDU

Tuchukue tahadhari madimbwi ya maji yanaweza kusababisha KIPINDUPINDU

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Mvua kubwa za mafuriko zilizopiga zilisababisha madimbwi mengi ambayo athari zake zimeanza kuonekana kwani Kipindupindu kimeanza mfano katika mikoa ya Pwani ya Kusini kuna dalili za milipuko ya kipindupindu.

Tahadhari ni pamoja na kutokula kula ovyo sio unakutana na mandazi ya baridi unayapiga hakikisha unakula vyakula vya moto.
 
Back
Top Bottom