Hapa ulimaanisha nini Raia mwenzetu embu dadavua kidogo tuelewe maana watu walikufa kama kule Italy wakazika na kuzika unasema ni propaganda? maana haata hapa watu wameumwa na kufa pia............tena wengine wameshudia hapa jinsi walivyokohoa na kubanwa
Bro akuna ukweli apo ndo maana nime kuambia awa wana tumia saana vyombo vya abari mimi ninaye kuambia mwanzo nili kuwa na ogopa covid 19 saana siku ambayo nili panga kuja TZ 2020 kuna serekali ya TZ wali kuwa wana sema uwezi ingia TZ bila kufanya test ya covid nili enda kufanya Test ya covid kwa ili nipate kusafiri kwa bahati mbaya nikawa positive nika onekana na covid waka ni ambia uwezi kusafiri nenda ukae ndani siku 14 ndo una rudi apa kurudilia vipimo
Nili rudi uku mwili wangu una tetemeka eti ndo na kufa wakawa wana ni pigia siku kuni uliza na endelea je na kunipa hofu sijuwi baada ya siku kaza uta anza kupata dalili siku izi zilipiti
Na nika maliza karantine yangu bila kusikia dalili yeyote ile
Maswali nika baki nayo
Je ? Ni ugonjwa gani atari ambao auna Dawa mtu una pona kwa kukaa karantine tena una pona bila Dawa
Nili achana na apo mwezi wa kwanza mwaka huu waka sema wafanyakazi wote ina bidi waje na karatasi ya vipimo vya covid apa kazini nika pimwa tena kwa bahati mbaya nika onekana nao mimi na dogo langu tuli kaa karantine 14 bila kusikia dalili yeyote zaidi ya kupewa hofu nao tu
Bibi yangu naye ana miaka 78 kwasasa naye Ali onekana na covid cha ajabu aku sikia dalili zozote za covid
Na yeyote ata kaye bisha abari iyi na Mshauria afanye nguvu afanye test alafu majibu ata ona cha ajabu
Alafu after karantine uta letee ushuuda wako apa
Ndo ivo akuna corona na uki sikia kume kufa watu milioni 2 ni uongo propaganda zao izo
Akuna chochote