FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Ila kama haya maigizo ni kwa ajili ya kupata zile pesa za mabeberu, basi wacha maigizo yaendelee, maana hadi mama na yeye anaigiza kuvaa barakoa ππππPesa aliyoikataa bwana yule wenzie tunaitaka...
Na mengine yatakuja.
Jiwe na uanaume wake alikatiliwa mbali na bwana covid19Yani wanaume wazima mnaogopa Covid. Wanaume tumebaki wachache sana
Yes si ndio maana UK na Oman kipindi cha 2nd wave ya bongo zilipiga marufuku flight zetu huko na watalii wakaiweka kwa blacklist.Hivi kwanini hizo nchi zengine zenye kujikinga na corona zisiwe zinaogopa corona kutoka Tanzania ila badala yake tunaona Tanzania tusiojikinga na corona ndio tunahofia corona kutoka hizo nchi zengine, mara South Africa mara Uingereza mara India mara Uganda.
Hii kitaalamu imekaaje?
Mzungu anafaidika nini na Covid?? Uchumi umeporomoka ssa faida ya kuuza chanjo ndio ita fidia hta relief package iliyotolewa kwa kila raia??Akuna corona duniani Bali kuna propaganda za covid
Na ni Biashara yaani watu awa tumii akili kabisa
Mara hoo sijuwi kume tokea wimbi la tatu
Kutoka india mara hoo wimbi la pili kutoka south afrika
Na fikiri la 4 lita tokea TZ maana awa ma bwana wana cheza saana na vyombo vya abari Pamoja na ma Docter ila ukweli akuna ugonjwa wa covid
Na mkitaka kujuwa ivo ukweli nendeni mkapimwe mimi na amini mta onekana na covid tu alafu mna ambia stay karantine siku 14 cha ajabu uta pona bila kupewa Dawa yeyote wala nini sasa awa wana vizia watu wenye magonjwa ndo wana sema ni covid na kingine mta kacho kijuwa mzungu atowi pesa zake bure
Hapa ulimaanisha nini Raia mwenzetu embu dadavua kidogo tuelewe maana watu walikufa kama kule Italy wakazika na kuzika unasema ni propaganda? maana haata hapa watu wameumwa na kufa pia............tena wengine wameshudia hapa jinsi walivyokohoa na kubanwaAkuna corona duniani Bali kuna propaganda za covid
Na ni Biashara yaani watu awa tumii akili kabisa
Mara hoo sijuwi kume tokea wimbi la tatu
Kutoka india mara hoo wimbi la pili kutoka south afrika
Na fikiri la 4 lita tokea TZ maana awa ma bwana wana cheza saana na vyombo vya abari Pamoja na ma Docter ila ukweli akuna ugonjwa wa covid
Na mkitaka kujuwa ivo ukweli nendeni mkapimwe mimi na amini mta onekana na covid tu alafu mna ambia stay karantine siku 14 cha ajabu uta pona bila kupewa Dawa yeyote wala nini sasa awa wana vizia watu wenye magonjwa ndo wana sema ni covid na kingine mta kacho kijuwa mzungu atowi pesa zake bure
Sizungumzii hizo waves ambazo hazina tofauti kwa anayejikinga au asiyejikinga bali nazungumzia kiujumla Tanzania kwa kutochukua tahadhari kwamba tumeachia virusi vitambe na kusambaa vinavyotaka ila bado sisi tunahofia corona kutoka hayo mataifa mengine.Yes si ndio maana UK na Oman kipindi cha 2nd wave ya bongo zilipiga marufuku flight zetu huko na watalii wakaiweka kwa blacklist.
Hazina tofauti? Issue ni vifo.... Nmekupa case ya Israel mara ya mwisho tuna debate kwamba tokea 3rd wave iingie imekuta kuna chanjo so cases zikashuka 90%+ kutoka maelfu February mpaka watu chini ya 100 mwezi wa tano. Sasa unaposema hakuna tofauti nikueleweje?Sizungumzii hizo waves ambazo hazina tofauti kwa anayejikinga au asiyejikinga bali nazungumzia kiujumla Tanzania kwa kutochukua tahadhari kwamba tumeachia virusi vitambe na kusambaa vinavyotaka ila bado sisi tunahofia corona kutoka hayo mataifa mengine.
Sijazungumzia hizo chanjo ambazo hadi sasa bado mnachagua nchi zilichopata mafanikio ya chanjo, mimi nazungumzia kujikinga tu na corona ukiacha hizo chanjo, pamoja na hayo mawimbi hatujaona Tanzania hospitali kuzidiwa wagonjwa wa matatizo ya kupumua au kama kule India tulipokuwa tunaambiwa hadi kuni za kuchomana moto ziliwaishia.Hazina tofauti? Issue ni vifo.... Nmekupa case ya Israel mara ya mwisho tuna debate kwamba tokea 3rd wave iingie imekuta kuna chanjo so cases zikashuka 90%+ kutoka maelfu February mpaka watu chini ya 100 mwezi wa tano. Sasa unaposema hakuna tofauti nikueleweje?
Tunahofia sababu mara zote Corona ikifika hapa inatuletea shida as I said binafsi tulipoteza wachungaji wawili kwa mkupuo. Then wazazi wangu wawili waliponea Aga Khan ER pale!! Gharama zilizotukuta wanafamilia na stress ya kuona wazee wanapigania maisha unadhani tusiogope virusi kutoka huko nje?
Ama kwa sababu ukoo wenu unaishi maporini huko haujapata Covid ndio una generalise kwamba hauna madhara??
Nchi nyingi hazikuwa zimefika above 70%.... Kwa zilizofika zote kuna mafanikio na nilianza na Israel coz ni nchi ndogo so chanjo alipata karibu kila mtu.Sijazungumzia hizo chanjo ambazo hadi sasa bado mnachagua nchi zilichopata mafanikio ya chanjo
Tulimpeleka mzee na Mama hospitali fulani wakamkataa ikabidi twende Aga Khan (coz ya gharama hakuna msongamano kivilee)..... Nakumbuka pastor wetu alipelekwa Muhimbili ila alikataliwa ikabidi alazwe kwenye kituo cha afya kule kijichi akafia huko. Tatizo hautafuti facts umekaa nyuma ya keyboard tu na kuishia kukosoa tu watu wanaokesha maabara kutafuta suluhu.hatujaona Tanzania hospitali kuzidiwa wagonjwa wa matatizo ya kupumua
Uongo mwingine huu... Nchi ya watu billion 1 watu maelfu kadhaa wakifa whilst mamilion wakipona is it an issue?kama kule India tulipokuwa tunaambiwa hadi kuni za kuchomana moto ziliwaishia
Mzungu anafaidika nini na Covid?? Uchumi umeporomoka ssa faida ya kuuza chanjo ndio ita fidia hta relief package iliyotolewa kwa kila raia??
Funny
Hapa ulimaanisha nini Raia mwenzetu embu dadavua kidogo tuelewe maana watu walikufa kama kule Italy wakazika na kuzika unasema ni propaganda? maana haata hapa watu wameumwa na kufa pia............tena wengine wameshudia hapa jinsi walivyokohoa na kubanwa