Google Diggers
JF-Expert Member
- Aug 29, 2015
- 944
- 1,138
Kwenye hoja Moja Kwa Moja.
Unakuwa na presha kamtu kanakupandisha presha nyingii mpaka unafikia hatua ya kutaka kuacha kazi.
Inatukuta Sana na wengi hii tunaichukulia rahisi na kamtu uka-zoom na ukika-scan unaona haka kwani hakajui nafasi au cheo ni dhamana tu? Kwa wengine wanajitutumua wakidhani wamepata, na ubabe kibao. Inasikitisha unapofanya kazi miaka 26 na ushee na up and down zipo unaishi nazo, late few years ahead ku retire anakuja boss na arrogance zake kibao kila mtu anamshangaa na kummuacha kama alivyo.
Watu wa aina hizi tuishi nao vipi maana wanakera na Wana presha za kitu flan katika kutekeleza kazi zao.
Inakera sana unapoishi na kitu/kero moyoni. Kitengo ni au kaidara au section flan ni kitu kidogo sana. Ka MTU kanapata nafasi kanakosa hekma za ki malezi na kiuongozi. Jambo hili linanysha jinsi vijana tunapopata madaraka na ku exercise ujinga, ulimbukeni.
Tunapoangalia Sana tunawaomba viongozi wanaokosa hekima na kubaki kuwa kero kwa watendaji na wananchi Kwa ujumla.
Watu aina hii katika jamii iliyostarabika waachwe tu wafanye ujinga wao au tuwachukuliaje kwa mfano.
Nimefuatilia mauaji ya waziri mkuu wa zamani shizza Abe, na kwamba chuki ni jambo Baya Sana.
Yule kijana wa Umri wa 40s ni kama alikasirishwa na Muda mrefu na alitumia wa tabia na matendo ya kiongoz yule. Watu ambao hawajali maisha ya watu wengine hujawa na chuki.
Hii hali inawaathiri Sana wafanyakazi na watu mbalimbali wanaofanyiwa udhalilishaji, ukatili, unyanyasaji nk.
Hadi anaamua kutekeleza mauaji si jambo dogo. Alibuni silaha na kumbe alishaawahi kutakakutumia bomu kummaliza marehem shizza. Bastola na baadae alitengeneza local bunduki SMG yake

Upvote
4