Katika mahojiano ya Mtangazaji wa Sky News, Yalda Hakim pamoja na mchambuzi wa mambo ya kisiasa wa mrengo wa kulia nchini Marekani, Tucker Carlson, kujadili athari za kisiasa na kijiografia za migogoro inayoendelea sasa hivi huko Mashariki ya Kati.
Tucker Carlson, ambaye zamani alikuwa mshirika wa karibu wa Donald Trump, alikosoa vikali sera za mambo ya nje za utawala huo, akisema kuwa vita hivi vinavyoendelea ni "mwisho" wa rais huyo.
Alipogusia kauli za Makamu wa Rais zinazodai kwamba hatua hizo za kijeshi na mikataba ya kimkakati ilikuwa na "faida kubwa," Carlson alipuuza kauli hizo na kusisitiza kuwa gharama kubwa ya maisha ya Wamerikani waliopotea pamoja na mamia ya mabilioni ya dola yaliyotumika ni jambo gumu sana kukubali.
Yalda Hakim: Do you think this war is the beginning of the end of Donald Trump?
Tucker Carlson: Oh yeah, of course, of course it's the end. Of course. Of course it's the end, and he—and I said this to him in February.
Yalda Hakim: We're seeing a lot of the Vice President now coming out defending this deal. He said, fundamentally, it was worth it.
Tucker Carlson: What was worth it? The deal?
Yalda Hakim: The war, the deal... it was worth it.
Tucker Carlson: Well, what are you going to say? It wasn't worth it? You know, all these Americans died. It cost us tens, maybe hundreds of billions of dollars, and will cost more going forward. So, like, it—it's a tough pill to say it was—wasn't worth it.