Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Kitendo cha TUCTA kudhani kuwa wanamjibu Heche kuhusu wafanyakazi kuporwa haki yao ya mafao kwa kumuambia eti wamekubaliana na serikali na mjadala umefungwa hiyo ni kuwadharau wafanyakazi.
Heche hahusiki na pensheni za wastaafu ila aliongea akiwa na haki ya kutoa maoni dhidi ya wafanyakazi kuonewa, TUCTA mnalotakiwa ni kuwalinda wafanyakazi dhidi ya uonevu na si kuwa upande wa mwajiri.