Lady Whistledown
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 1,147
- 2,008
Baada ya aliyekuwa Meneja wa Kanda wa Shirika la Reli Tanzania, Jonas Afumwisye, kuthibitisha kupokea barua ya kufutwa kazi, Rais wa Chama cha Wafanyakazi nchini amesema wanapinga hatua hiyo kwa kuwa alitimiza haki yake ya kutoa maoni.
Meneja huyo anadai, kusimamishwa kazi kutokana na kupinga tozo za miamala kupitia mtandao wa WhatsApp ambapo anadaiwa kwenda kinyume na Sheria ya Utumishi wa Umma ya mwaka 2003.
Pia anatuhumiwa kupinga juhudi za serikali za kutoa chanjo na kumkashifu Rais Samia Suluhu kupitia mitandao ya kijamii ambapo amesema, atakata rufaa kwenye Tume ya Utumishi wa Umma.
............................................
A Tanzanian government employee has been sacked for opposing the introduction of charges for mobile money transfers on social media.
Jonas Afumwisye, a regional manager for Tanzania Railways Corporation, confirmed that he has received a sacking letter and would appeal to the Public Service Commission, The Citizen newspaper reports.
The letter stated that he had gone against the Public Service Act of 2003.
It's unclear which platform the official used as the sacking letter just referred to social media.
Mr Afumwisye is also accused of opposing the government's vaccination efforts and defaming President Samia Suluhu in his social media posts.
Trade union boss Tumaini Nyamhokya said they oppose the dismissal of the worker because he had a right to express his opinion, The Citizen newspaper reports.
Tanzania has in the past been criticised for declining freedoms and cracking down on government critics
Source: BBC