Tudhibiti Tembo kama ilivyo kwa tumbili

Tudhibiti Tembo kama ilivyo kwa tumbili

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Tumbili wakiwa mtaani kwenu sio nyumba zote wanazizoea na kuingia ingia yaani kuna nyumba hawakanyagi kabisa basi ndo kama tembo wananusa hatari tembo wawili usiombe waingie shambani yaani heka mbili tembo wanazifuta zote chali.

Mkakati madhubuti unahitajika kudhibiti tembo wanahatarisha sana bahati nzuri mimi nimeona kadhia wanayopata wakulima na wananchi maeneo wanakopita tembo wanatisha siku ukiwaona wanakatiza kijijini me niliwaona tembo wa nne aisee ni kisanga minazi inavunjwa vunjwa kama kijiti utakuwa unasikia tu inavyoanguka unaweza ukafikiri ni chain saw inafanya kazi huko porini.
 
Back
Top Bottom