Jordan jacob
Member
- May 28, 2016
- 26
- 4
Je kwa upande wa pulling ikoje,maana nataka nifunge kwenye ton 3 na nusu,huku Moro mkuyuni kuna vilima hatariUdhaifu wa 3B cylinder head yake haistahimili overheat unapoitumia hakikisha mfumo wa upozaji uko vizuri (baadhi ya watu huiwekea radiator kubwa kupunguza uwezekano wa kuheat) au ikitokea imeharibika unanunua cylinder head complete na piston za 14B unafunga hapo uhakika
Pulling haitofautiai na uliyoitoa ila ukitaka nguvu zaidi funga 14b. Kwa maelezo zaidi nenda google uliza TOYOTA B ENGINESJe kwa upande wa pulling ikoje,maana nataka nifunge kwenye ton 3 na nusu,huku Moro mkuyuni kuna vilima hatari