Jordan jacob
Member
- May 28, 2016
- 26
- 4
Gari yangu aina ya Toyota Dyna Ton 3 na nusu ,ilikuwa na engine ya 13B,ikapasua block piston zikatokea mbavuni,nime overhaul lakin inanizingua ,ila kuna sehemu nimepata engine ya 3B NEW ,je itafaa ukilinganisha na 13B,kwa anaefaham kuhusu 3B tujuzane