TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 14,747
- 24,250
Amani iwe nawe.
PDF la kushtukiza limetoka usiku mkali, lakini limekuja kwa mshtuko wa kutosha hasa.
Leo nakurudisha nyuma wakati wa uongozi wa presida John Joseph Pombe Magufuri, wakati anataka kufanya mabadiriko ndani ya chama ndani humo.
Hiki kilichotokea usiku wa manane kimeshtua watanzania wengi sana ila wengi wanasahau kuwa, hiki anachofanya mama mzee wetu JPM alikuwa anaelekea kufanya hiki kiasi kwamba wengi mnakumbuka kipindi kile mh. Nape alitembea kilometers kadhaa kuingia magogoni kuomba poo.
Na baada ya kupigwa chini huyu jamaa ndipo mbinu chafu na chain yake hiyo hiyo wakaanza kazi nje ya box, sasa basi nini tunatarajia baada ya hapa?.
Hatujui ila kwa sababu bado ni vijana waliopo ndani ya chama, basi tusubiri maana Mama kasafisha nyumba hasa na anaonekana hana simile na mtu na sioni tofauti na kile akichofanya mzee Magufuri ila tofauti ni watu.
Nilisema sitasema kitu kwa Mh. Rais hadi baadaye sana na safari bado inaendelea, tukae kwa kutulia, maji yajitenge na mafuta.
2025 ipo njiani si mbali - SSH kapania.