TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 14,747
- 24,250
- Thread starter
- #21
Unaposema amtoe Mwiguru, unajua huyu jamaa na mama wapoje?.Dkt Samia anayo nafasi 2025 iwapo atamtoa pia Dkt Mwigulu, na Mh. Bashe. Hawa ndiyo wamebaki wawili waliomshushia Dkt Samia thamani ya urais wake. Tena awatoe haraka sana. Baada ya hapo aende Chato kwenye kaburi akalie machozi na kuomba msamaha.
Baada ya hapo basi ahakikisha watu kama Makonda wanakuwa kwenye usukani. Then ahakikishe awe na raho ya uongozi na kiongozi, akate mizizi yote iliyomlambisha udongo bosi wake kata mpaka shina ng’oa asiishie tu kukata majani yaani na mti kabisa.
Hapo atashinda na kutawala bila wasiwasi ila akiwaacha kitakachotokea ni ya Biden. Ajue kabisa Mama hakuna mtu mbaya ka Mh. Bashe na Mwigulu ndani ha serikali yake nao maana hao wana ambitions za urais hivyo watafanya lolote kuiba na kuhakikisha wanamdhalilisha Dkt Samia ili aonekane ni kashindwa.
Huyo jamaa ana nafasi yake kwa mama ambayo wengi hatuijui, nafasi hiyo inatokana na kipindi kile mama yupo Tanga huku nyuma wazee wa kazi wanafanya yao, mwiguru tumuache kwanza, atahukumiwa kwenye sanduku.
Umemtaja Makonda kwamba awe front line, lakini huyu naye si mmoja wao?.