Tuelewane: Amini usiamini, njia hii haina tofauti na ile aliyofanya Hayati Magufuli

Unaposema amtoe Mwiguru, unajua huyu jamaa na mama wapoje?.

Huyo jamaa ana nafasi yake kwa mama ambayo wengi hatuijui, nafasi hiyo inatokana na kipindi kile mama yupo Tanga huku nyuma wazee wa kazi wanafanya yao, mwiguru tumuache kwanza, atahukumiwa kwenye sanduku.

Umemtaja Makonda kwamba awe front line, lakini huyu naye si mmoja wao?.
 
Nape na makamba wana uwezo mdogo sana Magu aliliona hilo na mama kaliona
Bora hata January alifit vizuri Foreign. Ila Nape ana uwezo mdogo sana.

Haina tofauti na Mwigulu ambaye kahsribu uchumi wetu saivi tuna crisis ya dola hadi zinauzwa kwa black market.

Nape na Mwigulu ndo wa hovyo zaidi. January alishindwa Nishati ila Foreign palitakata chini yake.
 
Mna muoverrate huyo mama yenu, kwa uwezo gani wa kiuongozi alionao? hizo ni just political games hakuna weledi wowote hapo!
Mkuu umekuja na komenti yako ila hujaelewa andiko lina maana gani?.
 
Wewe umeongea kwa nia njema..au unasukumwa tu na chuki zako kwa hao watu na ajenda zako za kificho ambazo mwenyewe unatamani zitokee lakini haziwezi kutolea!!!!!!
 
Wewe umeongea kwa nia njema..au unasukumwa tu na chuki zako kwa hao watu na ajenda zako za kificho ambazo mwenyewe unatamani zitokee lakini haziwezi kutolea!!!!!!
Naongea kwa dhati kabisa kwa moyo wa upendo. Mimi kama mwana CCM kindakindaki, Dkt Samia anafaa kuendelea 2025. Nina sababu za kiuchumi na kisiasa za kumsapoti Dkt Samia. Mfano mdogo ni uendelevu wa miradi alioacha Dkt Magufuli, akija mwingine anaweza kudharau. Lakini pia mradi wa Bandari ni muhimu uendelee akija mwingine anaweza vunja mkataba. Kisiasa Dkt Samia anafaa kwa sababu alifanya kazi na mzalendo Dkt Magufuli hivyo anajua alichokuwa anafanya Dkt Magufuli na ndiyo maana tunaona SGR leo inafanya kazi.
 
Yaah, kweli na mtindo wa CCM inaweza kuwa sawa Mama akaendelea ili kukamilisha miradi iliyotumia fedha nyingi kuanzishwa.

Maana kiongozi anayekuja hawezi kukubali kuendeleza miradi isiyomuhusu akijua hana 10% percentage, ili ni tatizo kubwa.

Ila tambua zengwe linalokuja si la kitoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…