Tuelewane tafadhali kuanzia Saa 5 Usiku huu anayeiwakilisha hasa Tanzania, NBC Premier League na Simba SC huko AFCON ni Henock Inonga pekee

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Jitahidini mumtumie haraka sana Mchovu Mmoja aliyepigwa Bao Mbili za maana Usiku huu ili aiwahi Mechi yenu na Omba Omba FC tarehe 5 Februari, 2024 kwani walioko hawaaminiki nanyi na mkifanya masihara mtaziangusha tena Mbili zingine na kuwapa Green Light Mfalme wa Nyika na Muuza Ice Cream katika Kunyanyua Makwapa yao kwa Msimu huu wa 2023 / 2024.

Kama Uwanja wao Wenyeji wa leo unaitwa Mwangaza wa Taifa ulitegemea kabisa utoke zako na Nuksi za Klabuni Kwako kwenye Mafuriko na Vyura wengi ukashinde na uingie Semi Final kisha ukirejea Tanzania uanze Kumkoga / Kumringishia Mpinzani wako kutoka Uluguruni Mkoani Mara na umwambie Yeye alitoka mapema?

Haupendi UTANI achana na huu Uzi!
 
goli la pili diarra kafungwa na mchezaji wake mwenyewe,huwezi kumcheka
 
Harakati za mbilikimo
1704621171281.jpg
 
Mali na wao wamejitakia wenyewe kutolewa mapema yaani una kipa mzuri ana kimo kizuri anacheza sweden unamuweka benchi unang'ang'ana na golikipa mfupi atakusaidia nini?
Na bora hata hawakufika penalty ingekuwa aibu kubwa
 
Hahaha hivi hiyo Jumatatu atakuwa amesharudi bongo mkuu, sema binafsi nilitamani Mali washinde asee, Ivory Coast siwakubali wala nini naona kama wamefika hapo kimazabemazabe tu
 
Uelewe mpira,magoli yote yamefugwa Kwa uzembe wa mabeki.
 
Ukitaka uujue Uchawi wa hatari alionao anayemweka Benchi huyo achezaye Sweden watafute akina Metacha na Abdultwalib watakuambia.
 
Ndiyo wameshafika hivyo Mkuu.
 
Uelewe mpira,magoli yote yamefugwa Kwa uzembe wa mabeki.
Kama Mabeki walikuwa ni Wazembe kwanini Yeye ( Kipa ) asiye Mzembe hakuokoa? Mimi Timu yoyote ile yenye Mchezaji kutoka Timu moja ya Tanzania NISIYOIPENDA siwezi Kuipenda na hata tu kuiombea Mafanikio.

Asanteni sana na Hongereni mno The Elephant ( Ivory Coast ) kwa kufika Semi Final hiyo Jana..
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ukitaka uujue Uchawi wa hatari alionao anayemweka Benchi huyo achezaye Sweden watafute akina Metacha na Abdultwalib watakuambia.
Na hilo mkuu litakuwa ni kweli maana yule kipa wao anayecheza Sweden hajazaliwa Africa kazaliwa ulaya kwahiyo hizo mambo haelewi na huyo jamaa mfupi inaonekana kwenye hilo ana uzoefu mkubwa nakumbuka wakati Abdutwalib Mshery anafika na moto alivyopoa fasta na kusahaulika kabisa
 
Mali na wao wamejitakia wenyewe kutolewa mapema yaani una kipa mzuri ana kimo kizuri anacheza sweden unamuweka benchi unang'ang'ana na golikipa mfupi atakusaidia nini?
Na bora hata hawakufika penalty ingekuwa aibu kubwa
Ndio maana Mangungu aliwaletea Manzoki kwenye uchaguzi kipa mrefu kuliko wote AFCON alikua wa Mauritania amewasaidia nini? Kipa mfupi kuliko wote ni huyo Williams wa SA unataka kusemaje wewe mbumbumbu?
 
Kama Mabeki walikuwa ni Wazembe kwanini Yeye ( Kipa ) asiye Mzembe hakuokoa? Mimi Timu yoyote ile yenye Mchezaji kutoka Timu moja ya Tanzania NISIYOIPENDA siwezi Kuipenda na hata tu kuiombea Mafanikio.

Asanteni sana na Hongereni mno The Elephant ( Ivory Coast ) kwa kufika Semi Final hiyo Jana..
Kipa wenu Manula mbona hakufanya hayo wewe mbilikimo?
 
Ndio maana Mangungu aliwaletea Manzoki kwenye uchaguzi kipa mrefu kuliko wote AFCON alikua wa Mauritania amewasaidia nini? Kipa mfupi kuliko wote ni huyo Williams wa SA unataka kusemaje wewe mbumbumbu?
Diarra ndio kipa mfupi kuliko wote kwenye hii michuano hata kwa kumtazama tu yani unapotosha ili tu kutetea hoja yako, japo na ufupi wake hata hapo alipofika si pabaya maana kuna makipa wengi warefu hawajafika, ufupi ungekuwa tatizo angetolewa hatua za mwanzo kabisa
 
Back
Top Bottom