Tuelewane: waliposema education ni ufunguo wa maisha hawakumaanisha elimu ni ufunguo wa pesa

Tuelewane: waliposema education ni ufunguo wa maisha hawakumaanisha elimu ni ufunguo wa pesa

deblabant

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2022
Posts
2,650
Reaction score
4,065
Watu wanachanganya vitu viwili ambavyo ni muhimu.

Maisha yanajumuisha akili za utambuzi, kuishi na watu technically mana dunia haina hira, kuwepa viunzi vingi vya kifo nk

Pesa au fedha ni ujanja wa mtu tu bila kujali amezipata kihali au la:

Ndo mana wenye pesa mara nyingi wanakufa haraka mana waliowengi wana pesa ila hawana elimu.

Ile survival of the fittest wasomi wanaiishi sana lakini wenye pesa na hawana elimu wanakufa haraka.

Mjumbe hauwawi
 
Wewe tutakuuwa maana ujumbe wako ni takataka.
 
Back
Top Bottom