Tuelewane waungwana, kuna tofauti gani kati ya hizi style?

Ayiiiii ๐Ÿ˜น
 
Ungemzidi umri usingesusa, wote mlikutana wageni..!!
 
Aiseee hatareee sana..
Nina mengi ya kusema ila kwa sasa ngoja ninyamaze tu.. ilaaa
 
Kureset au kuresit?
Wewe mtu ambaye anaresit mitihani unamuona ana akili? ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Niliona vident vikiwa vyembamba na vinaaa miwani basi nikajua wana akili sana
 
Mtoto akaondoka na clean sheet? Ungeenda nae mdogo mdogo mda mwingine unatia vilainishi saiv ungeshakua kwa billboard ya moyo wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ