Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,877
- 43,633
Still Huwa ananikumbukaga maana Mimi ndie first lover wake now anawatoto wake wanneMtoto akaondoka na clean sheet? Ungeenda nae mdogo mdogo mda mwingine unatia vilainishi saiv ungeshakua kwa billboard ya moyo wake.
Alishaga semaga Mimi na yeye tukionana hawezi ninyima ila for sure hatujawai kutanisha TEAM kiwanjani haaaahaa ☺️
Kweli pale clean sheet alitoka nayo
NB. WANAWAKE BIKRA KUMU UNSEAL NI KAZI NGUMU SANA SANAAAAAA TENA ENZI IZO HAKUNA VILAINISHI ENZI IZOOO
NIlinyooasha mikono mara aanze kuogopa mara aanze kulia mara anaogopa mara kubana mapaja ukitumia