Tuelewane waungwana, kuna tofauti gani kati ya hizi style?

Tuelewane waungwana, kuna tofauti gani kati ya hizi style?

😹😹😹 Sasa si madoido jamani..!!
Kwahiyo alitaka kukukatisha ticket kwenye bodaboda..!! 🤣

Mwenzio alitaka umchukulie sio kicheche wewe unataka mpelekeshane kama umemtoa kimboka, kweli? 😹😹
Yaani aliniudhi hii wiki ya pili hata simu simpigiii anaifanya kunitumia msg nampotezea unanipotezea muda eti madoido🤣🤣
 
Mwananyamala kuna watoto wa mbwa lakini kwenye kupaka mafuta ya kula hiyo umetupiga Hearly 😹😹😹

Atleast ungesema mate basi kwa kipindi hiko ingemake sense..!!
Nakuambia ni mafuta ya kula mate kwenye kutoa bikira utakesha

Trust me 🤣🤣
 
Back
Top Bottom