Tuelewane waungwana, kuna tofauti gani kati ya hizi style?

hizi michepuko tu ndio wanaweza wake zetu wanakaa kama mbuzi
 
kasafiri apa namsubiri kwa hamu balaa
Mwenzio alijua utamwambia njoo afu wewe unapaisha mpira..!! Namna gani wewe ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
Hizo style zote ni kwa mafundi tuu wengine wanakaa kama stuli imevunjika miguu
๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Khaaaaaaa!! Mtaniua mbavu kwa kucheka..!!
 
Nasubiri hiyo popo kanyea mbingu mkuu. Anainyeaje wakati mbingu iko juu mkuu? Ina maana mavi yana move against gravity? How?
We nawe acha ushamba ๐Ÿ˜น
Subiri nikutafutie pic yake nikuwekee hapa..!!
 
๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น mtsiewwww..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ