Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 43,349
- 104,110
- Thread starter
- #541
Una kibamia Tpaul? 😹Ubarikiwe sana mkuu. Umenipa somo kubwa sana. Hiki kidude changu kila mwanamke ninayemchagua kinapwaya. Hatimaye nitakuja kuchukua wanafunzi nifungwe jela. Hivi hakuna dawa ya kurefusha na kunenepesha mkuu? Nawaonea ghere sana wanaume wenye mitalimbo ya punda. Na ujue wanawake wengi wanapenda mashine inayojaa kwenye k, vinginevyo atakudharau sana. Ningekuwa najua jinsi ya kumtambua mwenye k ndogo ingenisaidia.