Tueleweshane juu ya gari feki

Tueleweshane juu ya gari feki

misimajumbasita

Senior Member
Joined
Jun 10, 2018
Posts
157
Reaction score
273
Kwenu wadau wa JF hivi gari feki ndio huwa zipoje? Zinafananaje? Na je ni hatari katika matumizi?

Nimepata wakati mgumu sana wa kuzielewa gari feki. Na je kama zinaweza kuhatarisha maisha ya mtumiaji? Lakini pia mamlaka kama TBS wazee wa viwango wanaonaje hili la matumizi ya vyombo vya moto ambavyo ni feki.

Naomba kujuzwa watalaam wa mambo.
 
Feki zipo, hammer fake za mchina vioo vinashuka na kupanda, lakini og ya Mmarekani havishuki, inabidi ule kiyoyozi muda wote.
 
Hamnaga gari feki ila kuna Copycats from CHAINAH in trumps vocals! 😂😂😂
 
Feki zipo, hammer fake za mchina vioo vinashuka na kupanda, lakini og ya Mmarekani havishuki, inabidi ule kiyoyozi muda wote.
Itakua wachina wao wameona kushuka na kupandisha kioo ni bora zaidi kushuka au kupanda kioo sio vigezo vya feki au Og..nunueni magari mazuri ondoeni vipengele au matawi wakati magari mazuri ya kutafuta na Tochi...
 
Back
Top Bottom