Puna
JF-Expert Member
- Oct 9, 2013
- 2,793
- 4,935
Tukiwaambia mtupatie teaching allowance hamtaki,mtuongezee mishahara hamtaki, kutupandisha madaraja hamtaki.Basi muanzishe uhamisho wa dharura pale Mwalimu anapokutana na changamoto hizi:-
1.Kuachia ushuzi wa Sauti.Hapa ushapiga ugali wako kwa njugu mawe,ukashushia na Mtindi alafu uko class ghafla chaki inaanguka na Ushuzi ukatoka bila taarifa na madogo wakausikia.
2.Zipu kufunguka darasani alafu mzee baba boxer imetoboka unastuka madogo wanakula chabo.
3.Kulazwa nje.Ulilala ndani asubuhi unajikuta uko mtoni au juu ya paa.
3.Kuvuliwa nguo kishirikina.Hii ilimkuta jamaa kila akiingia darasani nguo anaacha mlangoni,kumbe madogo wamefanya yao pale mlangoni jamaa anabaki Kama kazaliwa leo,mpaka mkuu wa shule alipoishutukia show.
Haya ni machache Kama kuna mengine tuongezee ili serikali yetu sikivu waandae uhamisho wa dharura.Usiku mwema.