Mr sule
JF-Expert Member
- Oct 14, 2021
- 606
- 1,110
Uzi kama huu nadhani niliuona mapema humu
Dah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uzi kama huu nadhani niliuona mapema humu
Ni kwa kutoa ndio tunapokea! Je unataka uwe mkono wa birika 2024? Unaweza ukafeli vibaya sana! Kama kipawa chako ni kutoa wewe toa! Na usijiulize utapata wapi za kutoa...! Zitakujia tuu.. Ila toa panapostahili kutolewaKama mnavyojua, zimebaki siku kadhaa tuanze mwaka mpya yaan Mwaka wa 2024.
Na tayari watu wameshajiwekea malengo makuu na madogo ya kukimbiza nayo 2024.
Tuambia malengo yako ni nini 2024?.
Binafsi sina nilichopanga, nasubiri tu mwaka utakavyonipeleka.
Mwaka huu mwishoni tu nimejifunza kutotumia pesa vibaya kwa kigezo nasaidia watu, nimefel sana kutaka kujali watu. watu hawana uchungu na pesa yako. nataka nijiimarishe kwanza mwenyewe. hayo ndo malengo mwakubwa naenda nayo Mwaka 2024.
[emoji419][emoji419][emoji419][emoji375]Utafiti unaonyesha mtu anayeandika malengo yake hovyo na kuyasemasema kwa kila mtu anajipunguzia uwezo wa kuyatekeleza.
Nilichopanga 2024 ni kuhakikisha natua Paris ufaransa nikaoshe macho mzee king mimiKama mnavyojua, zimebaki siku kadhaa tuanze mwaka mpya yaan Mwaka wa 2024.
Na tayari watu wameshajiwekea malengo makuu na madogo ya kukimbiza nayo 2024.
Tuambia malengo yako ni nini 2024?.
Binafsi sina nilichopanga, nasubiri tu mwaka utakavyonipeleka.
Mwaka huu mwishoni tu nimejifunza kutotumia pesa vibaya kwa kigezo nasaidia watu, nimefel sana kutaka kujali watu. watu hawana uchungu na pesa yako. nataka nijiimarishe kwanza mwenyewe. hayo ndo malengo mwakubwa naenda nayo Mwaka 2024.
mtangulize MUNGUKuwa na afya njema mim na familia yangu ,kuhamia kwangu na mengine mengi
Yeah ndiyo kitu salama zaidiusionge sana malengo yako
FANYA PIGA KIMYA
habari yako binti yanguYeah ndiyo kitu salama zaidi
uzeeNjema Baba naona unanipita tu😞
Naamini hujazeeka kias hicho Babauzee
jioni hii...majuzi nimekusubiri sana pm lakini wapiNaamini hujazeeka kias hicho Baba
nitafanya hima nikucheki uzuriiHujanicheck mbona