Tuelezane; Mwaka 2024 una malengo gani umepanga kutimiza

nipige mtoto wa mtu mimba januari mwishoni
ninunue uwanja mwanzoni kabsa mwa mwaka
nianze ujenzi mwezi wa sita
nimnunulie mama nyumba mkoani
ninunue gari langu premio au altezza
nihame hapa kawe ukwamani nikahamie goba nkachukue nyumba nzma
nifungue biashara kama 4 hv kwa mpigo mwezi wa tisa mwanangu akizaliwa nimfanyie bonge la sherehe uku kwetu uswahilini niwawekee kigodoro wakeshe mpka asubuhi
 
Duh!! 2023 was a great year ever ina my life malengo niliyoyapanga yote yametimia hyo 2024 sijui itakuaje tuu ila I hope it will all be good!
 
Ni kwa kutoa ndio tunapokea! Je unataka uwe mkono wa birika 2024? Unaweza ukafeli vibaya sana! Kama kipawa chako ni kutoa wewe toa! Na usijiulize utapata wapi za kutoa...! Zitakujia tuu.. Ila toa panapostahili kutolewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuwa na afya njema mim na familia yangu ,kuhamia kwangu na mengine mengi
 
Nilichopanga 2024 ni kuhakikisha natua Paris ufaransa nikaoshe macho mzee king mimi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…