Tuelezane ukweli...Yameanza miaka hii kweli

mmmh hayo mambo bwana yalikuwepo, yapo na yatakuwepo. just imagine jana nimekaa varandani mara vikatokea vitoto vya vina wiki moja tu toka vizaliwe, vikawa vinapanda so hii ni genetic code inakuwepo in nature
 
mkuu umenikumbusha kuna dogo mmoja pale Mchikichini alikuwa hodari wa kuwala wenzake, dogo kuna siku jioni jioni alianza kula mate then alimwinamisha mwenzake kaanza kula ghafla watu wakatokea dogo kakimbia, sasa later kijiweni wakamuuliza wewe unafanyaga nini wenzio dogo eti anadai ni wake zake, ni dogo alikuwa na kati ya miaka mitano na sita...
 
Japo yalikuwepo ila now yamezidi kuwa exposed.<BR>Shule hasa english medium zinafundisha mapema mwaswala haya,utandawazi kwa ujumla ila pia na wazazi waskuhizi wanachangia sana.<BR>Tunavyolea siku hizi tofauti natuliyolelewa zamani so lazima iwe hivyo,ni Mungu tu wakuwanusuru watoto wetu,maana hata kama huna mtoto leo siku zijazo utakuwa nao tu.
 
Kumbe basi wanaigiza hatuwezi kuwa graduate kua walikua wanafanya hio act...

Kamwe hawezi kupaa,wake kuku kifaranga,
hata mbawa kumkaa,amwonapo ye kipanga,
akilini zimekaa,mapenzi wanayapanga,
Watoto wanayaiga,wazazi wayafanyayo,

Hata wao walianza,watoto wanamaliza,
Adamu yeye wa kwanza,kwa eva alikoanza,
muulize hata makanza,mitaa yetu ya mwanza,
Watoto wanayaiga,wazazi wayafanyayo.....
 
....hha hha ha!...burudani ni lugha na tahayari kwenye sura za wazazi wa hao watoto waliokuwa wanafanya 'matusi'
Utasikia 'watoto wabaya sana, nani kawafundisha?'

Hawafundishwi................wanaona na kurekodi matukio.

Inasemekana mtoto anaanza kurekodi matukio anayoyaona kuanzia umri wa miezi sita(6) tu.............

Sasa tujiulize,wazazi wangapi wanalala na watoto wao wengine mpaka miaka 3/4 na wanaendelea na kushughulika kama kawaida huku wakiamini hao watoto hawaelewi kinachoendelea?

Ndio hapo wanaporekodi......na kadri wanavyoendelea kukua huku wakijiuliza maswali wa wanayo/waliyowahi kuyaona.........+ mambo ya kwenye TV( hasa tamthilia za nje)............wanaanza kufanya practical.
 

Ni kweli Magulumangu,hayo uliyoyasema,
Sio kwako hata kwangu,nami nilishayaona,
Wanusuru Mungu wangu,watoto haya kuona,
Matukio warekodi,miezi sita tangia


Tupe hekima wazazi,watoto kuwakingia,
Kulea jamani kazi,mambo mengi wapitia,
Jirani na kwa wazazi,kote wanachungulia,
Matukio warekodi,miezi sita tangia.
 
Labda waliua wanaigiza na kujaribu, miaka sita kweli vs mitano... wanaweza kweli??
Kinguonguo, hao wazazi wamechemsha kuwachapa walikuwa hawajui hata walitendalo sasa ndio wataenda kuangaliana vizuri kabisa
 
Tatizo linawezekana kwamba lipo kwa wazazi wenyewe! Kula mkate wakati watoto hawajalala ni hatari.
Inawezekana kabisa watoto waliwaona wazazi wakipiga game, afu na wao wakajaribisha.
 
ebana ndio yeye mkuu,tena nae yumo humu jf bt ckupi ID yake.

You must be kidding hahahahahahaahaha km ni yeye kweli mwambie asome halafu km kernel yake inafanya kazi itasearch kwenye memory, ila usimwashieee bureee
 


Chimunguru............teh teh teh ........navuta tukio zima tangu movie inaanza mpaka sterling anauawa(bakora)...............nami naongezea bakora zangu 2....teh teh teh .............stori yako inachekesha sana.....
 
Tatizo linawezekana kwamba lipo kwa wazazi wenyewe! Kula mkate wakati watoto hawajalala ni hatari.Inawezekana kabisa watoto waliwaona wazazi wakipiga game, afu na wao wakajaribisha.
haina kufundishwa hiyoo....iko naturally!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…