Tuelezane ukweli...Yameanza miaka hii kweli

Tuelezane ukweli...Yameanza miaka hii kweli

hata tukio sikumbuki lilikuwa likoje ila nakumbuka nilichezea bakora
 
Watoto wanajifunza toka kwa wakubwa,kama kweli kizazi cha siku hizi hakina maadili,basi wazazi wake nao hawana maadili.Inaaminika kuwa;young generation learn from elders.
 
Watoto cku hizi wana sehemu nyingi za kujifunzia haya mambo mfano kwenye tv.
 
Hakuna kipya chini ya jua,yaliyopo yalikuwepo!
 
Back
Top Bottom