Mkwaruzo JF-Expert Member Joined Feb 21, 2011 Posts 563 Reaction score 98 Jul 19, 2011 #41 hata tukio sikumbuki lilikuwa likoje ila nakumbuka nilichezea bakora
hengo JF-Expert Member Joined Jun 6, 2011 Posts 402 Reaction score 50 Jul 19, 2011 #42 Watoto wanajifunza toka kwa wakubwa,kama kweli kizazi cha siku hizi hakina maadili,basi wazazi wake nao hawana maadili.Inaaminika kuwa;young generation learn from elders.
Watoto wanajifunza toka kwa wakubwa,kama kweli kizazi cha siku hizi hakina maadili,basi wazazi wake nao hawana maadili.Inaaminika kuwa;young generation learn from elders.
Husninyo JF-Expert Member Joined Oct 24, 2010 Posts 23,851 Reaction score 9,472 Jul 19, 2011 #43 Watoto cku hizi wana sehemu nyingi za kujifunzia haya mambo mfano kwenye tv.
Eiyer JF-Expert Member Joined Apr 17, 2011 Posts 28,259 Reaction score 20,891 Jul 19, 2011 #44 Hakuna kipya chini ya jua,yaliyopo yalikuwepo!