Tuelezane uzuri, ubaya, faida na hasara za utumiaji wa 'Vumbi la Mkongo'

Tuelezane uzuri, ubaya, faida na hasara za utumiaji wa 'Vumbi la Mkongo'

Tumia msamitu ni mzuri kwako au nitafute nikupe aina ya matunda
Inapatikana wapi hiyo msamitu, kwenye maduka gani na bei yake ipoje?? na ni busta au suluhisho hebu dasavua kiongozi wengine wapate mwanga
 
Habari ya muda huu viongozi..

Poleni kwa mapambano yanayoendelea dhidi ya janga hili la ugonjwa hatari wa homa ya mapafu unaosababishwa na kirusi hatari cha corona. Tujitahdi kunawa mikono kwa maji tiririka na kutulia nyumbani...
Ni hasara tu mkuu, faida hakuna
 
Inapatikana wapi hiyo msamitu, kwenye maduka gani na bei yake ipoje?? na ni busta au suluhisho hebu dasavua kiongozi wengine wapate mwanga
Mpaka saizi nafaham suluisho la nguvu za kiume kwa njia tatu
Njia ya kwanza ni dawa za Suppliment
Njia ya Pili Msamitu
Njia ya tatu Matunda

Na vyote vinafanya kazi, utofauti ni bei,, na mda,

Njia ya kwanza inagarimu sio chini ya 50000tzs kama tatizo ni kubwa ika unapona kabisa,
Njia ya pili ni msamitu huu unafanya kazi ya kuweka sawa misuli ya kiume bei hake ni 60,unapona kabisa.

Njia ya Tatu ni matunda hii ni nzuri kuliko zote, kwa sababu kwanza ni bei nafuu, unaweza kuanda mwenyewe, unapata virutubisho vingi sanaa,, ndani ya siku 7 mfululizo unapona kabisa, kitakachobaki nitakushauri usiache kula mfumo huo wa matunda kila jioni kabla ya chakula..
 
Mpaka saizi nafaham suluisho la nguvu za kiume kwa njia tatu
Njia ya kwanza ni dawa za Suppliment
Njia ya Pili Msamitu...
Hapo vizuri sasa kiongozi walau umewapa watu muongozo na hata mleta mada nafikiri atakua amepata muongozo. Ila unaonaje pia ukiweka muongozo wa matumizi ya hayo matunda kwa lengo wa kuwanasua na kusaidia wengi juu ya hili, ikiwezekana uanzishe hata uzi kuhusiana na hilo ili wengine wapate faida. au ndo mpaka malipo??
 
Hapo vizuri sasa kiongozi walau umewapa watu muongozo na hata mleta mada nafikiri atakua amepata muongozo..
Ila unaonaje pia ukiweka muongozo wa matumizi ya hayo matunda kwa lengo wa kuwanasua na kusaidia wengi juu ya hili, ikiwezekana uanzishe hata uzi kuhusiana na hilo ili wengine wapate faida. au ndo mpaka malipo??
Nafikiria niweke Group kwa telegram
 
Huwezi kutumia vumbi ukavaa condom. Ukipiga dry chama alafu umeweka vumbi kichwa cha uume kinakufa ganzi hivyo lazma kitachubuka. Tambua mchubuko hutokea kwa asilimia mia kwenye kichwa cha uume na pembezoni.

Hivyo ni hatari kwa afya. Mapenzi ni starehe ambayo ukitoa bao unapata raha hivyo ya nn kujitesa usitoe bao. Wanaume mda mwingine tunaonekana wajinga sana, ww unamgonga mtoto wa watu hadi anachubuka.
 
ACHANA NA DAWA ZOTE ZA KUBOOST UTAKUWA HANISI KABISAAAAAA,,
VUMBI LA KONGO ACHAAAA
VICK ACHAAAA

USISEME HUKUAMBIWAAAA,
Siwezi fanya huo upuuzi,nguvu zilizopo zinatosha....acha wala chipsi waendelee kulialia
 
Huwezi kutumia vumbi ukavaa condom. Ukipiga dry chama alafu umeweka vumbi kichwa cha uume kinakufa ganzi hivyo lazma kitachubuka. Tambua mchubuko hutokea kwa asilimia mia kwenye kichwa cha uume na pembezoni. Hivyo ni hatari kwa afya. Mapenzi ni starehe ambayo ukitoa bao unapata raha hivyo ya nn kujitesa usitoe bao. Wanaume mda mwingine tunaonekana wajinga sana, ww unamgonga mtoto wa watu hadi anachubuka.
Hahahaha mkuu hii mbona kama unanisema mimi[emoji1]
 
Hiyo midude ni ya kuikomoa papuchi na si kulipa dushe furaha ya kweli
 
Back
Top Bottom