Tuelezane uzuri, ubaya, faida na hasara za utumiaji wa 'Vumbi la Mkongo'

Tuelezane uzuri, ubaya, faida na hasara za utumiaji wa 'Vumbi la Mkongo'

Hospitali bado, nimekua nikifuata ushauri tu wa mitaani. Ila nahitaji kwenda kwa wazee niwaeleze ukweli naweza kupata msaada kabla kufika huko..

Maana mimi nasimamisha vizuri tu na naweza kumuandaa mke wangu hata masaa mawili mashine inasimama tu..

Ila sasa nikiingiza tu dahh hapo sijui kinatokea nini yani dakika 3 nyingi nishabwaga
Pengine hofu nayo inachangia!

Kwa hali ya namna hiyo mwanaume kwake ni fedheha. Hiyo hali inakutokea sawa, akili inaweza ikaji "tune" ikafanya hiyo hali saikolojia yako ikajenge ni ada kwako! Ikakijenga ikaona ni kama ulemavu kwako. Matokeo yake ikazalisha hofu juu ya hofu.

Kwenye mwili wa binadamu kuna kama "triggers" Yaani ni mazingira ambayo yanaufanya mwili wako u' release certain chemicals in your brain and they make you want to do somethings in certain settings. Kwa vile hiyo hali imekutokea imeganda kwenye ubongo na akili imekuwa triggered.

Binafsi ni mwanaume! Najua hiyo hali ni fedheha kwa mwanaume. Ushauri wangu kwako ondoa hofu kwanza. Jenga kujiamini saikolojia yako itakuwa vizuri na kufuata taratibu wadau wengine walizokupatia. Ni ushauri! Mimi siyo mwana Saikolojia.
 
Nyongeza, kunywa sana maji kabla ya tukio. Maandalizi yote ya mchezo yanaisha masaa mawili kabla kisha narelax wala sina papara kabisa wala sina woga.
Pia natumia sana maji nikiwa mchezoni, huwa natumia breki za kunywa maji. Lita na nusu hunitosha.
Ilo la maji ndio Mkongo wangu huo.

Kabla ya shoo,lazma dumu la maji Lita 5 baridi ziwe pembeni.

Kila baada ya dkk 5 napumzka kunywa maji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tafuta dawa ingine vumbi linatumiwa kwa mechi zile moja moja sana sio kwa mkeo ukitumia kwa mkeo lazma atajua afu itakua aibu sana kwako.....

Ila nikulize ukishakojoa fasta fasta inachukua mda gani dushe kuamka upya?

Maana ukimwaga fasta chini ya dakika 2 afu mashine ikainuka tena ndani ya dakika kumi ukianza ku pump bao la pili haliji hata saa nzima.

Ila kama unamwaga chapu afu ngoma ndio hadi kesho basi tatizo mana ikiinuka kesho ukingiza hukawiii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daaa
Pengine hofu nayo inachangia!

Kwa hali ya namna hiyo mwanaume kwake ni fedheha. Hiyo hali inakutokea sawa, akili inaweza ikaji "tune" ikafanya hiyo hali saikolojia yako ikajenge ni ada kwako! Ikakijenga ikaona ni kama ulemavu kwako. Matokeo yake ikazalisha hofu juu ya hofu...
Daah, umeongea pont sana mkuu..


Mm binafs siku za karibuni nilikuwa na tatzo hilo Tena mm nilikuwa na uwezo wa kufanya romance nusu saa nzima Ila kitendo cha kugusa tu ngoz ya papuchi wazungu hao iliniumiza sana kitu ambacho ilinipelekea adi niende nunua penz kwa dada poa kwa kuona aibu kwa hawa ninaofahamiana nao,japo dada poa nao walikuwa wanancheka Mana nikiingza tu hao wazungu,daah aisee sema kwa dada poa skuona haibu coz hatukufahamiana na pia nilikuwa nawalipa so wao walijali pesaa tuuh.

Ila kuna sku nilikipata kitabu humu jf kinaitwa sex God na nikawa napitia nakala mbalimbali kujua tatzo, nilihisi huenda punyeto ilinihasiri coz nlikuwa mwanachama mzur hvyo nkajitaidi npunguze rate ya kupga nyeto adi niache kabsa.

Kwakweli nlfanikiwa kupunguza rate ya nyeto kwa kiasi kikubwa na kuangalia pcha za ngono nikaconcetrate na mambo ya kiimani,mazoez na mambo ya meditation ili nijujenge kisaikolojia,nakumbuka nilikaa muda mrefu bila kujihusisha Kwenye nyeto wa penz na mwanke yyte.

Mwaka huu nilimpata bint mmoja ambae nlikuwa namfukuzia kwa zaidi ya miaka miwili kwa kweli nlimpenda,huyu bnt baada ya kuingia katka himaya yangu sku akaamua kunpa penz bla kinyongo, nakumbuka ilikuwa mida ya jioni....akajanitembelea gheto baada ya story chache nkajikngeza kuomba mzigo bint bila kinyongo akafunguka...sikuamini kabsa, hofu ilinijaa na hali ya kujiamini ikaondka kabsa but skuwa na papara mtoto nkampa koni yangu akainyonya vya kutosha nakamchezea vyakutosha mtihan ukaja Kwenye kuingiza koni kweny k yake ile hofu ya kumwaga mlangoni ikanijia daaah....yaani haibu nikamwaka njee na machine ilinywea kabsa.

Nilihisi fedhea na haibu sana Ila bint alinielewa akaniambia usijali nimeenjoy na romance yko japo hujaingiza.

Nilitumia sku mbili kujichunguza na kusoma kile kitabu cha sex God na kupitia miitandaoni kujua tatizo nini.
Nilikuja kugundua kwamba..
1. sijiamini hii upelekea hofu,uoga na papara
2. sina uzoefu wa kutosha
3. haibu za kijinga
4. kutokujituma uwanjan Kama mwanaume

Hvyo nkafanyia kazi madhaifu yangu....afu nikaomba mechi Tena bint bila hyana akaja Tena geto tukapga story chache,nikaanza kumchokoza polepole akaonyesha ushirikiano,nikajiambia moyoni leo naweza nkampa mate ya kutosha,chezea sana maene yenye msisimko ( chuchu,masikio,kitovu,mapaja,shingo n.k) Tena kwa ulimi then nkajipa break ya sekunde kadhaa kwa kumpotezea yaani Kama siitaki gemu hv,kumbe najarbu kuusoma mchezo na kuondoa hofu....nkaenda tia rock mlango zen nkarud Kwenye uwanja.

Apo ndo inabidi utawale uwanja Kama mwanaume nikamseti vizur kwa kuitupita miguu mabegan mwake ndo nikakiona kisimi chake kwa mara ya kwanza ndo naichungulia papuchi aisee....duuuh,nikasema acha niapply niliyojifunza nkautumia ulimi wangu Kama silaha ya maangamiz, niliibusu kwanz papuchi nikaona mtu anastuka...nikasema yes kazi inaanza....yaani ujasiri sijui uliitoka wap nikaanza nyonya kisimi kwa ulimi kwa ustadi wa hali ya juu...hakuamini kabsa Kama ndo mie nafanya vile,alianza kujikunjakunja na kutoa sauti za hisia apo ndo akanishawishi nianze kumla Sasa.

Kwavile papuchi nilisha iona na ule mkao ulinpa wepesi wa kuapply vle nlivyojifunza nikavua boksa nkasogeza mchine ado Kwenye mlango wa papuchi nkaingiiza kichwa tu then nikatoa nkafanya hvyo Kama mara tatu then nkawa naingizi nusu theni natoa nkafanya hvyo kwa dakika 1 ndo nikaingiza japo skuchukua mda mrefu nikama dakika 3 hv nkamwaga...na apo nilikosea masharti Mana ilibidi niingize mbo* na kuchomoa adi pale mbo* itakapozoea joto la papuchi then ndo inaizamisha yote na kuenjoy game...

Aisee nilifululiza gemu wki nzima Mana alikuwa anajiketa tuu kila sku jioni adi ikanipelekea kupata sup chuo,ili bint alinisifia sna,nakumbaka aliniambia akikumbuka mwili unamsisimka...

Kwakweli nikajiona kidume ninauwezo ata wa kuunga kuunganisha bao,hii nayo imenisaidia sana Mana mda mwengine dk mbili wazungu hao lakini najikuta machine ipo imara ndani ya k...


Jifanyie uchunguzi,baini udhaifu wako,soma vitabu,mazoezi,jiamini na uwe mbunifu tuu
Ukiwa kweny show kata mshipa wa aibu utawale gemu muoneshe mpenz wako Kama ww kweli mwanaume....

USITHUBUTU KUSEMA ETI MM SIWEZI KUMFANYIA HV MPENZI WANGU ATANIONAJE,UKIZEMBEA WENZAKO WATAMFANYIA TUU..
 
Asante mkuu nimekuelewa. Kwa maoni mengi humu yaliyotolewq kwa kweli siwezi kujaribu mkongo ngoja nifanye tafiti zingine tu naamini hakuna linaloshindikana..

Mkuu mimi nikishabwaga ndani ya hizo dakika zangu takribani mbili au tatu huku mwenzangu akibaki na sintofahamu,basi mashine husinyaa taratibu hadi kufikia point of relaxation.

Hapo nikishafika hiyo set point yani hadi ije isimame sio chini ya nusu saa hadi lisaa moja..

Mbaya zaidi kitu kinachonipa mawazo ni hata mzunguko wa pili hadi wa tatu kama nitabahatika kumbembeleza akanielewa yaani hizo round zote zinakua hazichukui zaidi ya dakika 3 yani ni kitu kama constantly mpaka nachoka sielewi..

Ni hivyo mkuu hebu kama una nadharia unipatie huenda nikapata suluhu

Tafuta dawa ingine vumbi linatumiwa kwa mechi zile moja moja sana sio kwa mkeo ukitumia kwa mkeo lazma atajua afu itakua aibu sana kwako....
 
Daaa

Daah,umeongea pont sana mkuu.

Mm binafs siku za karibuni nilikuwa na tatzo hilo Tena mm nilikuwa na uwezo wa kufanya romance nusu saa nzima Ila kitendo cha kugusa tu ngoz ya papuchi wazungu hao iliniumiza sana kitu ambacho ilinipelekea adi niende nunua penz kwa dada poa kwa kuona aibu kwa hawa ninaofahamiana nao,japo dada poa nao walikuwa wanancheka Mana nikiingza tu hao wazungu,daah aisee sema kwa dada poa skuona haibu coz hatukufahamiana na pia nilikuwa nawalipa so wao walijali pesaa tuuh...
Nimekuelewa sana kiongozi wangu aisee umenipa kitu ambacho sikuwahi kuwaza awali. Naomba kama hutojali unitumie hiyo pdf ya hiko kitabu inbox mkuu naomba sana🙏
 
Mkuu mim niko mkoa ila nimefanikiwa kupata madaktar wa wanaume wako dar inabid nifunge safar kuja dar ila kwa sasa najipanga...ila pia kuna mdau humu kaninielekeza juu ya ndgu yake pia alikua namatatizo kama yetu anasema walikuja kujua wakati wakutaka kuoa ikabid wamtamfutie tiba wa kamapata mtu aliemtibu kienyeji kwa mitishamba anasema ndgu yao alipona alitumia tiba mwezi1 anasema mpaka sasa ndgu yao alioa anawatoto4


Sent using Jamii Forums mobile app

mkuu tunaomba mrejesho kwa kila hatua utakayofikia
 
Haina shida mkuu ntaleta mrejesho..vp ww mkuu nawe umechukua hatua gani kwa hilo tatizo


Sent using Jamii Forums mobile app

nishatumia ushauri wa kila aina mkuu, kuanzia karanga mbichi, mronge, uwatu yani mpaka naelekea kukata tamaa moja kwa moja, Nishajikita kwenye clinic nyingi za kienyeji biila ya mafanikio kabisa
 
nishatumia ushauri wa kila aina mkuu, kuanzia karanga mbichi, mronge, uwatu yani mpaka naelekea kukata tamaa moja kwa moja, Nishajikita kwenye clinic nyingi za kienyeji biila ya mafanikio kabisa
Dah pole sana mkuu..
 
nilishawahi kupitia hiyo hali , nilikuwa mshiriki mzuri sana wa punyeto 'baada ya kusikia kuwa punyeto inasababisha uhanithi nilipatwa na hofu sana .siku ya kwanza kukutana na mwanamke uume ulisinyaa kabisa nilipatwa na hofu sana..na hofu ikatawala akili yangu ndani ya miaka 5 nilikuwa sina nguvu sikuwahi kufanya tendo la kujamiiana ndani ya miaka 5.

kipindi nipo medical school muhimbili mwaka 4 kuna dr nilimfungukia tatizo langu akaniambia kwa umri wangu sikuwa na shida kabisa na wala punyeto haisababishi uume kutosimama , sababu ya uume kutosimama ilikuwa ni hofu niliyojijengea tangu zamani ilisababisha saikolojia yangu kuharibika.

akanipatia vidonge aina ya cialis/tadalafil nitumie pale ninapotaka kukutana na mwanamke , sababu ya kunipa hivi vidonge ilikuwa ni kunijengea ujasiri pindi ninapokutana na mwanamke nilitumia hivi vidonge kwa miezi 2 tu then nikaachana navyo , tangu nilipoacha kutumia hivyo vidonge huu ni mwaka wa 10 sasa na nimeoa nipo vizuri sina tatizo lolote la upungufu wa nguvu za kiume.

NB😛unguza hofu , usitumie madawa ovyo utakuja kujimaliza mwenyewe, kula vizuri fanya mazoezi .cialis/tadalafil hazitumiki ovyo bila ya ushauri wa daktari
 
nilishawahi kupitia hiyo hali , nilikuwa mshiriki mzuri sana wa punyeto 'baada ya kusikia kuwa punyeto inasababisha uhanithi nilipatwa na hofu sana .siku ya kwanza kukutana na mwanamke uume ulisinyaa kabisa nilipatwa na hofu sana..na hofu ikatawala akili yangu ndani ya miaka 5 nilikuwa sina nguvu sikuwahi kufanya tendo la kujamiiana ndani ya miaka 5...

Huyo daktar anaitwa nani nayupo wap kwa sasa


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekuelewa sana kiongozi wangu aisee umenipa kitu ambacho sikuwahi kuwaza awali. Naomba kama hutojali unitumie hiyo pdf ya hiko kitabu inbox mkuu naomba sana🙏
Aya mkuu kazi kwako....Kama utaitaji msaada zaid utanicheki..
 

Attachments

Back
Top Bottom