BelindaJacob
Platinum Member
- Nov 24, 2008
- 6,474
- 4,039
Sababu huwa sura ndo inanzingua kuna dada tulipokuwa faragha akavua braa jamani maziwa yalifunguka kama zulia yalikuwa yamepigwa jeki ya ukweli!wat wil it cost u gals to remain real
ha ha ha,....umenichekesha sana Lizzy!
Vaeni lolote mnalojiskia linawapendeza.
Msijali maneno yetu watazamaji.
Muhimu wewe mwenyewe unajiskiaje?
kama unajihisi kituko, then do something,...ha ha ha...
Nimeona hapo pekundu tuuuuuuuuu!!!!!!!!!!Baada ya kusikia malalamiko kuhusu hili mara kadhaa nje na ndani ya JF naomba niwaulize nyie wakaka...wababa na waume watarajiwa kwa baadhi yetu(lolzzzz) je ni kweli hamtaki/penda tunapovaa Push-UP bras wakati kifua kipo tumboni?!Au high-waisted skirt and pants kushape viuno vyetu japo wengine hatuna viuno au tuna vijitambi?!
I mean seriously guys...should we walk around with our saggy floppy bobies and our belly fat all over the place so that you know WHAT‘S RELLY THERE beforehand?!Maana malalamiko mengi yanasema mnaaminishwa mengi alafu ukishajitosa mtoto wa watu unakuja kuta mambo sio mambo!!
Naomba muwe wa kweli kwa faida yetu na yenu pia.....
To be yourself is rel good thing..Lakn kunAa wanaume wengi wana wake wazuri sana kama Kleopatra..mamisi world ,vifua saa sita lakn still wanawaacha na kwenda kutafuta wenye sura ngumu kama mawe.Tujiulize hili ni kwa nini inakuwa hivi...
Wengine maumbo yetu ndivyo yalivyo....
Haya jibu maswali achana na mambo yangu!
Kaa mbali na hao mafataki binti. Watazidi kukuharibuÂ…ooohooo. Wee shauri yako tu. Asiyesikia la mkuuÂ….
Swali...tupige au tusipige jeki vifua vyetu??
tubane au tusibane matumbo yetu!??
Hayo ndo unapaswa kujibu...mengine achana nayo,
kuna huyu sijui anaitwa sijui Fide Iranga......na yeye tumweke fungu lipi?manake sasa ileni kuchefuana tu
ila sasa, kupiga au kutopiga jeki and the like, doesnt matter to me...muhimu tabia bana
Aiseee tunahitaji wanaume WENGI kama wewe!!
Kwamba tupo WACHACHE wenye mtizamo huo Lizzy?
Honestly wengine wanazidisha bana...plus, kuwa na self esteem ni muhimu sana...kama nimekuona umepiga jerk si I know what to expect tukiwa faragha...
labda pia ni namna ya kuongezea kujiamini mnapokowa mbele za watu
ndo maana kujaribu kuwaelewa ni ngumu sana sana sana lol
(asee umenionea Asha D? namtafuta....)
Ha1ha! ha! ha!Basi inaelekea jeki zikipigwa marufuku wengi watakua hawatoki out!lol.....ila mi nadhani ukishakua kwenye ndoa inabidi ukubaliane na chaguo lako!...Unadhani ndugu yangu?? ..........we ukianzasikia waambiwa .........Mama Chanja hivi huwezipata nguo kama ya mke wa flani?, juzi kapendeza!! Ujue kinachosemwa hapo si nguo bali mwonekano mzima. Nakumbvuka mie na jiumbo langu hili nlishaambiwa ...haya mama kitenge hicho nenda kwa fulani nishamwelekeza mshono utakaokupendeza.....mie nkatia mh!! MJ1 na vitenge wapi na wapi?? Nkatii, nkaenda.... .ama!! mshono wenyewe kata mabega wa kuvalia pasipo bra ya mikanda -MJ1 jeki ya bila mikanda haikubali!...mshono skirt imeshika hips na wowowo..MJ1 hana hips na makalio yenyewe ni ya "Embu"...........mbona siku ya shughuli nliumwa!
Ila nikiangalia huyo "mke wa Fulani" ninayefananishwa naye mh simfikii hata nukta.
zile push up bras mi nazifagilia, zinawasaidia kuonekana mnavutia wakat mna makandambili vifuani...
mwanamke urembo bana, mi wangu avae vyovyote ili mrad ananivutia na asitembee nusu uchi.
Mi nafikiri hivi ni vitu vidogo sana kwenye mapenzi.........huwezimfuata mtu ukampenda kwa kuwa ni mnene na floppies kama MJ1 hapa unless unataka kuhit- and- run. Najua utasema kuwa ni full package yes but mh sidhani kama ni kigezo. Tuacheni tuvae na kujiweka vile ambavyo nafsi zetu zinapenda jamani. eh leo kazi (Hapa MJ1 anatetea maslahi yake binafsi Lizzy usione nashkia bango ama sivyo na hili belly ntakosa soko mwe!!)
mi naamini wengi tunaopishana nao kwa road sio maumbo yao halisi, wengine vitambi vikubwa, wengine makalio ya kujaladia, wengine matiti ya kufoji, nywele za extension, nyusi za kubandika, eye lenses za kupachika, lips za botox, n.k..huo ni urembo, bado sijaona ubaya wake.