TUELEZEE KUHUSU RAFIKI YAKO MUHUNI KUZIDI WOTE

daaah..nilikuwa na mshika ji wangu NDANDA sec...ugomvi kwake kama kula tukienda disco ukimkanyaga bahati mbaya konde....madem sasa?...kila wiki anatibu gono
[emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
[emoji106]
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] sad
 
Kuna kijana alikua anaitwa saa mbovu pale mwembetogwa secondary enzi hizo tukiwa advance alitembeza bakora kwa wanakijiji baada ya kuzidiwa na ulanzi tukiwa kalenga kufanya project
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hawakumroga kweli?!
 
Kila Jambo lina mwisho wake aisee. Alishindwa kufanya ubabe Kwa polisi
 
Walter? Seminary Ipi mkuu

 
Sekondari, gulicheza mechi mpira wa Miguu kati ya shule na timu toka town, ikatokea fujo mwanafunzi muhuni akamvizia mchezaji mmoja nakumbeba kwa nyuma akawa anakimbia naye bwenini huku akihamasisha wanafunzi wenzake waende wakamle mtungo.
 
Daaah rafiki yangu nilikutana nae chuo aiseeh yeye kiboko kwa madem, masugar mama yeye kwa wiki anaweza gegeda hata mara nne mademu tofauti huyu jamaa sitamsahau
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…